TUKIO LA MCHEZO SIMBA NA YANGA MAY 8  NA MATANGAZO.
Ni chini yasiku saba ambapo miamba miwili yasoka nchini itapambana kusaka pwenti kuelekea ubingwa wa ligikuu ya Vodacom, Tukio hili litawavutia wapenda michezo wengi, hivyo nifursa kwa waendeshaji wa michezo ya bahati nasibu, watangazaji wa biashara za michezo, affiliates, na vyombo vya habari vya mtandaoni kutangaza biashara zao. Hii nikutokana na ukweli kuwa Simba na yanga nitimu zenye mashabiki wengi nje na ndani yatanzania. Jinsi yakunufaika na tukiohili

Advertiser/watangazaji. Panga bajeti yako, chagua mtandao wakuendeshea kampeni, kama vile facebook, google adsense, Mgid au propeller ads, chagua eneo na anza kuendesha kampeni kuanzia sasa hadi siku moja baada ya mchezo.

Publishers; hakikisha unafanya SEO optimization, na unaandaa article nzuri kwaajili yakupata organic traffics, Livestreaming Simba vs Yanga, H2H Simba vs Yanga,  Simba vs Yanga Predictions, line up  ni miongoni mwa vitu viutakavyotafutwa sana mtandaoni kuhusiana na tukio hili la aprili 8.

Info.masshele@gmail.com