Kubeti kwa mafaniko ni pale mchezaji  anapokuwa amepata kiasi kikubwa kuliko kile alichopoteza katika betting. Kikawaida hakuna  mchezaji asiyewahi kupoteza beti, na kuwa kupoteza ni jambo la kawaida, tatizo ni pale unapopoteza kiasi kikubwa kuliko kile ulichowahi kupata na hivyo unakuwa umepata hasara. Mambo yafuatayo yatakusaidia kubeti kwa faida


  • Tengeneza bajeti yako; Bajeti ni suala la muhimu sana hasa katika masuala yanayohusu fedha. ni muhimu kujipangia kiwango chako cha mwisho cha kuweka bet, kwa siku, mwezi nk. na ni muhimu kuizingatia na bajeti hii ni muhimu kutoingiliana na masuala yako ya kifedha mengine na kuwa sehemu ya baejeti hii ni muhimu itokane na ziada yako.
  • Chukulia betting kama mchezo wa kujifurahisha, Hii itakusaidia kuepuka kulazimisha kushinda fedha nyingi kila mara kitu ambacho huenda usifanikiwe na kuishia kupoteza kila mara. Pia itakusaidia kuchukulia kuwa kupoteza ni sehemu ya mchezo na kujipanga tena wakati umetuliza akili.
  • Pitia uchambuzi wa mchezo husika kabla ya kuwekeza fedha yako. Ni muhimu kuangalia hali ya timu ilivyo kwa kwa wakati huo, uwezo wa wachezaji, lineup ya mchezo husika ikiwa ni pamoja na kujua formation ambayo timu zitaingia nayo kama inaweza kuzalishisha magoli mengi au laa, umuhimu wa mchezo husika kwa kila timu, umuhimu wa mchezo ujao kwa kila timu, yani mechi baada ya mechi unayotaka kubet, hii itakusaidia kupima nguvu ya timu kuelekea kwenye mchezo husika, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kwamfano sio ajabu kushinda kwa chaguo la over 1.5 kwa timu zenye wachezaji kama haland, Ronaldo, lewandosk  na Messi.
  • Tambua kuwa kila unavyozidi kuongeza michezo katika beti yako uwezo wakupoteza unaongezeka, Nimuhimu kutambua kuwa kadri unavyoongeza michezo uwezekano wa kupoteza huongezeka.
  • Sio lazima kuweka bet kila siku, Ikiwa umeathiriwa vilivyo na mchezo huu ni vigumu kupita siku kama hujacheza beti, hata kwa timu au ligi ambazo huna ufahamu nazo, jambo hili sio sahihi ni muhimu kujidhibiti na kupumzika  kupisha kipindi fulani
  • Unashauriwa kuangalia wengine wanasemaje, kabla ya kuweka mkeka wako ni muhimu kupitia kwa wataalamu mbalimbali wenye uzoefu na michezo hii ili kuangalia predictions zao lakini sio kwa kuzimakinikia sana kwamfano unaweza kuangalia mchezo ujao wa liverpool ukaona liverpool atafungwa 1-0 na wewe ulikuwa umepanga kumpa ashinde 1-0 unaweza kuamua kuiwekea mchezo huo under 2.5 au 12 kumbuka kuwa siii mara zote za kuchukua au kuamini predictions.
  • Chagua kuweka mkeka na makampuni yanayotoa bonus ili kufidia mikeka uliyopoteza  mfano wa makampuni hayo ni 22bet , nmengineyo  Bofya >>> HAPA>> kusoma zaidi kuhusu 22bet na bonus zake