Sokabet tanzania
Sokabet Tanzania


Kuna fursa nyingi za kupata pesa mtandaoni  na yawezekana linapofika suala la kubashiri soka huwa unajiuliza  “Ni kampuni gani bora ya kubetia soka mwaka huu?”. Usijali, leo nitakuchambulia ubora wa tovuti au app ya kubetia ya sokabet Tanzania.

YALIYOMO

1.0 KAMPUNI BORA YA KUBETI YA SOKABETI

2.0 OFA ZA KAMPUNI BORA YA KUBETI YA SOKABETI

3.0  JINSI YA KUBETI BILA KUINGIA MTANDAONI

4.0 JACKPOT YA SOKABETI

5.0 JINSI YA KUJISAJILI NA SOKABETI TANZANIA  NA HUDUMA KWA WATEJA

 

  1.0  Najiamini kusema Sokabet ndiyo kampuni bora namba moja ya michezo ya kubashiri mtandaoni hapa Tanzania kutokana na namna inavyojiendesha kitaalamu na weledi.

 

 2.0 OFA ZA KAMPUNI BORA YA KUBETI YA SOKABETI

Hizi ni baadhi ya sifa na huduma utakazokutana nazo ukijisajili Sokabet.

Unaweza kubeti bure ukishajisajili tu. Maana utapewa bonasi ya sh. 1000 ya bure kabisa. 

Ukiweka pesa kwa mara ya kwanza unapewa bonasi ya asilimia 100; yaani kama ukiweka 10,000 basi utaongezewa 10,000 nyingine endapo ukapiga simu na kuomba bonasi hiyo.  

 3.0  JINSI YA KUBETI BILA KUINGIA MTANDAONI

Pia unaweza kubeti bila bando *149*35# kwa wateja wa Airtel, Tigo, Halotel na Vodacom.

Pia Sokabet ni kampuni inayorudisha hela yako (cashback) mkeka wako ukichanika.

Kiwango cha chini kabisa cha kubeti ni shilingi 1 ya kitanzania.

 4.0 JACKPOT YA SOKABETI

Jakpoti yao ya uhakika, ipo ya milioni 200 yenye mechi 13 na ya milioni 50 yenye mechi sita tu. Uzuri ni kwamba sio lazima upatie mechi zote; ukipatia mechi 11 unapata bonasi ya milioni 20, mechi 12 utapata milioni 40. Vivo hivyo kwa jackpot ya milioni 50, ukibashiri sahihi mechi 4 unapata milioni 5 na ukipatia mechi 5 basi unaondoka na milioni 10 bila longolongo. 

Pia unaweza ku “cashout” yaani endapo ukaona mechi zilizobaki zinaweza kukuchania jamvi lako basi una uwezo wa ku – cashout na kutoa pesa yako na ukapata asilimia kadhaa ya pesa ambayo ungeshinda. Hivyo inakuwa bora upate pungufu kuliko kupoteza yote kabisa.

Sokabet wana pointi/odds kubwa za kubeti pamoja na kubusti odds kwenye mechi kubwa 

kuna multibet bonasi hadi asilimia 700 yaani kwenye mkeka wako ukiweka timu zaidi ya moja, ukishinda basi unaongezewa asilimia kadhaa kwenye ushindi wako. Mfano ukiweka mechi 5 basi bonasi yako ni asilimia 20 ya ushindi wako; yaani kama mechi hizo tano zitakupa ushindi wa shilingi 40,000 utaongezewa 8000 na utapata 48,000. Hii inapendeza sana.

Kuna chimbo la kasino ya mtandaoni la uhakika lenye michezo zaidi ya 2000.

 5.0 JINSI YA KUJISAJILI NA SOKABETI TANZANIA  NA HUDUMA KWA WATEJA

Bila kusahau kwamba Sokabet ni kampuni nzuri ya kubeti inayolipa haraka ukishinda na unaweza wasiliana nao muda wowote (0746983630) na wakakusaidia kuelewa jinsi ya kucheza na kushinda beti. Sokabet ni app bora zaidi ya kubetia kwa kuwa unaweza kuchagua muonekano unaokufaa kama ALTENAR inayotumia bando kidogo na kufunguka hata mtandao ukiwa chini (slow). Mengi zaidi utayapata ukijisajili kwa kubofya >>>HAPA>>