Sportpesa jackpot, sportpesa APK , sportpesa tanzania
Utangulizi

Sportpesa Tanzania ni miongoni mwa kampuni za kubashiri michezo ya mpira wamiguu mtandaoni nchini Tanzania. Vile vile kampuni hii hufanya kazi hiyo hiyo kwa upande wa keya.

Usajili wa sportpesa

Kampuni ya sportpesa imesajiliwa kwa mujibu wa sheria za udhibiti wa michezo ya bahati nasibu Tanzania kama 

SPORTPESA LTD , TIN  130-393-985

Reg. Company N.123072

Tanzania ,Dar es salaam, kinondoni District

Office address PENISULA HOUSE, TOURE DRIVE251, OYSTERBAY, DAR ES SALAAM, P.O.BOX N: 23135.

Tovuti ya sportpesa

Sportpesa app na kujisajili kwa sportpesa unatakiwa kuingia katika tovuti www.sportpesa.co.tz kwa upande wa Tanzania na www.sportpesa.co.ke kwaupande wakenya.

MICHEZO INAYOPATIKANA KATIKA APP YA SPORTPESA

Ndani ya sportpesa kuna  mteja anaweza kubashiri michezo mbalimbali ikiwemo michezo ya mpira wa miguu, poka, gofu, kriketi, table tennis, basketball, bassball, handball, na michezo mbalimbali ya kasino.

JACKPOT  YA SPORTPESA.

Kwasasa kampuni ya kubashiri ya sportpesa inaendesha jackpot mbili moja ikiwa ni ile ya katikati ya wi, na jackpot ya mwisho wa wiki.


SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA KWA KUBOFYA HAPA

Jinsi ya kujisajili sportpesa

Ingia katika wavuti

Bofya sehemu palipoandikwa jisajili

Jaza taarifa zako

Kamilisha usajili.

Namba za kuweka hela kwenye account yako ya sportpesa

        VODACOM  150888

       AIRTEL      150888

   TIGO PESA 150888

  HALOPESA     150888

 ZANTEL    150888


Mawasiliano ya sportpesa huduma kwa wateja, 0764115588, 068511588, 0677115588.FAQ

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu sportpesa

Jinsi ya kushinda jackpot sportpesa?

Jinsi ya kujisajili sportpesa?

Jinsi ya kubeti?

Jinsi ya kudownload app ya sportpesa

Hitimisho unaweza kusoma zaidi kuhusu sportpesa kwa kutembelea www.masshele.com au katika tovuti nyingine mtandaoni .