Leo nusu fainali nyingine inapigwa Kati ya mabingwa wa mwaka 2018 Ufaransa dhidi ya Morroco. Mchezo huo inatarajiwa kuwa mkali na unaofuatiliwa na mashabiki wa kandanda  kwa his tofauti more ulimwenguni.

Ufaransa unapewa nafasi kubwa ya Kushinda katika kampuni zote za michezo ya betting. 

Uimara wa  ufaransa umo katika kushambulia, Kasi, na uhakika wa kufunga magoli. Pamoja na hayo ufaransa Safi Yao ya ulinzi haiko vyema Sana kwani kila mchezo wameruhusu  Bao.

Kwa upande Wa MOROCCO  wanayo nidhamu nzuri ya kujilinda na kushambulia Mara moja moja lakini kwa uhakika zaidi. Mipira ya juu ambayo umekuwa faida Mara zote kwa washambuliaji wa ufaransa Kama Geroud huenda leo asiambulie kitu kutokana na Umakini na vimo virefu vya Safi ya ulinzi ya Morocco. 

Morroco wanapaswa kucheza kwa tahadhari kubwa zaidi kutokana na upana, umahiri na Kasi ya Safu ya ushambuliaji ya ufaransa. 

Utabiri wetu.

BTTS (YES)

under 2.5

KAMPUNI ZA KUBETIA ZENYE ODDS KUBWA.

1. Parimatch Tanzania Bonasi 100% Hadi 1000000 bure ukiweka salio kujiunga Gusa 👉 HAPA ðŸ‘ˆ

2. 888 bet Tanzania, Kushinda pikipiki, Smart tv, Simu na 500, 000,000 kila wiki 

Kujiunga Gusa 👉 HAPA ðŸ‘ˆ


3. Helabet tz, Bonasi 100% Ukideposit kujiunga Gusa 👉 HAPA ðŸ‘ˆ