Leo januari 22,2023 ligi kuu tanzania bara utaendelea Tena ambapo michezo miwili inatarajiwa kupigwa. Mbeya city itawakaribisha Mtibwa Sukari. Katika michezo 11, walizokutana timu hizi Mbeya City ameshinda michezo Mitatu, huku Mtibwa nae akiibuka kinaea Maratatu na michezo mingine Mitano ikitanatika kwa Sare. Aidha Dodoma Jiji itawakaribisha Simba huku Simba ikiwa mshindi wa michezo yote waliyokutana na Dodoma Jiji tangu watie mguu ligi kuu ya Tanzania bara.
UTABIRI WETU
Mbeya City Vs Mtibwa FT 1-0/under 2.5
DoDoMa Jiji Vs Simba FT 2/ no redcard
PIGA MKWANJA NA KAMPUNI HIZI ZENYE ODDS KUBWA.
1. Gals sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>
2. 888 bet Tanzania Jiunge >>HAPA>>
3. Helabet tz Jiunge kwa kugusa >>HAPA
0 Comments