Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea Tena Leo ambapo KMC itawakaribisha Namungo Fc wakati Geita Gold itawakaribisha Costal Union Ya tanga.
Katika michezo 8 Kati ya KMC na Namungo, KMC ameibuka na ushindi Mara 2 sare 4 huku Namungo akiambulia ushindi Mara moja.
Katika michezo 3 Geita gold Na Costal Geita amepata ushindi Mara 1 na kwenda sare Mara mbili
Utabiri wetu
KMC vs Namungo FT 2
Geita Vs Costal FT 1-0
PIGA MKWANJA NA KAMPUNI HIZI ZENYE ODDS KUBWA.
1. Gals sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>
2. 888 bet Tanzania Jiunge >>HAPA>>
3. Helabet tz Jiunge kwa kugusa >>HAPA
0 Comments