Ligi kuu ya NBC TANZANIA bara inatarajiwa kuendelea Tena Leo ambapo michezo miwili itpigwa wakati Tanzania prisons watawakaribisha Mtibwa Sukari, huku Simba sc ikiwakaribisha Singinda .

Katika michezo 12 iliyopita Tanzania prisons Vs Mtibwa sukari, prisons wameshinda minne, sare Tano na kupopteza mitatu. Huku Singida BS dhidi ya Simba wakiambulia sare katika mchezo wakwanza waliokutana.

Utabiri wetu

Tanzania prisons Vs Mtibwa sukari FT 1-0

Simba Vs Singida FT 2-0

PIGA MKWANJA NA KAMPUNI HIZI ZENYE ODDS KUBWA.

1. Gals sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>

2. 888 bet Tanzania Jiunge >>HAPA>>

3. Helabet tz Jiunge kwa kugusa >>HAPA