Diamond platnumz akishirikiana Na kampuni ya kubeti Kenya ya Odibet anatarajia kuzindua kampuni mpya ya kubeti Wasafibet hivi karibuni.
Kupitia mtandao was Instagram wa star wa bongo fleva Diamond ameposti logo ya wasafi bet Na kuambatanisha Na caption isemayo "mkwanja upo huku"
Mtandao huo unatarajiwa kuzinduliwa Na kupatikana mtandaoni muda mfupi ujao.
Kujiunga Na #pmbet Tanzania bofya >>HAPA>>>