Umewahi kufikiri kuwa Kuna ligi  Africa ambazo wachezaji wake wanavuna mpunga mrefu kuliko ligi za baadhi ya nchi ulaya na Asia pengine? Kwa taarifa yako Kuna wachezaji pale alahly wanavuna mpunga mrefu kuliko mchezaji aliye ligi flani ulaya. Mfano ni Ramy Rabia analipwa $75,000 kwa wiki.

Hii hapa orodha ya wastani wa mishahara katika ligi mbalimbali. Listi hii imetokana na tafiti mbalimbali tulizofanya kutoka vyanzo mbalimbali vya kuaminika. Mishara hii ni kwa wastani  kwa mwezi. Ligi ambazo taarifa zake hazikupatikana haijajumuishwa katika orodha


1. Egypt: $50,000 ~  115,500,000tsh
2. South Africa: $37,000 ~ 85,470,000tsh 
3. Tunisia: $30,000   ~63,900,000
4. Angola: $25,000 ~ 57,750,000
5. DR Congo: $20,000 ~ 46,200,000
6. Sudan: $15,000 ~ 34,650,000
7. Zambia: $7,000 ~ 16,170,000
8. Ethiopia: $7,000 ~ 16,170,000
9. Nigeria: $5,600.  12,941,600
10. Mozambique: $5000 ~ 11,550,000
11. Tanzania: $5000  ~ 11,550,000

Soma pia : KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

12. Botswana: $3,000 ~ 6,930,000
13. Gabon: $2,000 ~  4,000,000.
14. Rwanda: $1,500  ~ 3,000,000.
15. Zimbabwe: $1,200  ~2,400,000
16. Ivory Coast: $1,200 ~ 2,400,000
17. Kenya: $1,200 ~ 2,400,000
18. Swaziland: $850 ~ 1,700,000
19. Guinea: $800  ~ 1,600,000
20. Senegal: $600 ~ 1,200,000
21. Ghana: $600 ~ 1,200,000
22. Uganda: $600 ~ 1,200,000
23. Togo: $600. 1,200,000
24. Burundi: $500 1,100,000
25. Namibia: $500 1,100,000
26. Cameroun: $460 ~ 900,000
27. Benin: $400. ~ 800000
28. Burkina Faso: $400 ~ 800000
29. Malawi: $400. ~ 800000
30. Lesotho: $400 ~ 800000
31. Mali: $400 ~ 800000
32. Liberia: $300  ~ 600000
33. Sierra Leonne: $300
34. Gambia: $300
35. Niger: $220  ~50,8200
36. Chad: $200 ~ 462000