UKWELI KUHUSU KUSHINDA JACKPOT NAJINSI YA KUSHINDA

 


Jackpot ni machaguo maalumu ya michezo ambapo kampuni ya michezo husika huziweka timu mbalimbali katika orodha Fulani inayoweza kuwa na idadi ya michezo kadhaa na kuweza kushinda dau Fulani lililowekwa. Michezo inayowekwa katika jackpot huchaguliwa kwa ustadi mkubwa na wataalamu kutoka katika michezo ambayo nivigumu kutabirika kirahisi. Jackpot huweza kuwa na michezo kuanzia sita, 10, 12, 13, au 17. Kadiri jackpot inavyokuwa na timu nyingi ndivyo ugumu wakushinda unaongezeka. Mara nyingi jackpot zenye timu kati ya 6-12 ndizo zinazotajwa kuchukuliwa mara nyingi kuliko zile zenye timu 13 au 17.

Mbinu za kushinda jackpot.

Unapaswa kuelewa kuwa kushinda jackpot zio jambo rahisi. Katika mikeka ya kawaida umewahi kushinda mkeka wenye timu zenye ods 2 katika timu 12? Kama hapana basi ujue katika jackpot ugumu huo ni mara mbili. Hata hivyo wachezaji wanocheza kwa double chance wanatajwa kushinda bonasi zaidi kuliko wale wanaocheza kwa chaguo moja peka yake.

Uchambuzi wa jackpot.

Kabla ya kuanza uchambuzi wa jackpot unapaswa kujua kila timu iliyo katika jackpot haijaingizwa kwa bahati mbaya na matokeo yote matatu yanaweza kutokea kwa kwa timu husika.

Uchambuzi wako ya jackpot ni muhimu pia kuzingatia matokeo ya karibuni baina ya timu hizo, uwezo wa kufunga magoli kwa timu zote zinapokuwa nyumbani na ugenini, majeruhi wa timu husika hali ya hewa katika kiwanja husika, hali ya mashindano, msimamo, umuhimu wa mchezo huo kwa timu zote mbili ods za michezo  huo nje ya jackpot  na mantiki ya mfuatano wa machaguo.

Hitimisho, Pamoja na hayo kushinda jackpot huhitaji uvumilivu mkubwa na kadiri unavyokosa utajua ulikosea wapi na ufanye marekebisho. Kumbuka kila matokeo ya jackpot, ods za jackpot iliyopita, timu ulizo kosea zinaweza kukupa mwanga wa matokeo ya jackpot ijayo inaweza kuwaje.

SOMA PIA 👉 KAMPUNI BORA ZA KUBETI MTANDAONI

Post a Comment

Previous Post Next Post