JINSI YA KUBETI DOUBLE CHANCE,OVER AND UNDER AU TIMU ZIFUNGANE

 

Kubet double chance btts over and under

Kubeti dabo chansi au machaguo mawili, over na under au timu zifungane ni miongoni mwa njia au mbinu zitakazokusaidia Kushinda mkeka wako kila siku. Pamoja na kuwa pia unaweza kupoteza mkeka wako lakini kiwango Cha hatari ya kupoteza mkeka hupungua

      1. Kubeti machaguo mawili au dabo chansi

Hapa mchezaji unatakiwa kuchagua machaguo mawili ndani ya mchezo mmoja kwamfano 

Mchezo H. Simba vs A. Yanga X , ukochagua Simba au yanga Yani yoyote ashinde utapaswa kuchagu 12 , Kama unataka kuchagua Simba ashinde au atoe sare utachagua 1X, na kwa upande wa yanga hivyo hivyo, 2X  


        2. Kubeti timu zote kufungana. Hapa mchezaji utatakiwa kufuatilia historia ya mchezo husika na kujua ikiwa timu zote zinaweza kufungana. Nimuhimu pia kuangalia makala ya washbuliaji wa timu zote mbili pamoja na uimara wa ngome ya ulinzi wa timu zote mbili

          3. Kubeti over na under hapa mtu anayebashiri anatakiwa kujua au kutabiri ikiwa mchezo husika unaweza kutoa kiasi gani Cha magoli. Kadiri unavyochagua ods kubwa maana take unakuwa katika nafasi kubwa ya kupoteza mkeka kwa mfano over 0.5, 0ver 1.5, 0ver 2.5, over 3.5, over 4.5, over 5.5,  na kinyume chake under, nivyema kufuatiliachezo husika n kuona kuwa huwa timu hizo zinapokutana ni kiasi gani Cha magoli ya wastani hupatikana?

KAMPUNI ZA KUBETI ZENYE DOUBLE CHANCE, OVER AND UNDER NA BTTS ZENYE ODS KUBWA

                1.     Pmbet Jiunge >HAPA>

              2.       Premierbet Tanzania  Jiunge >HAPA>>

             3.      10bet Jiunge >>HAPA>>

Post a Comment

1 Comments