Jambo ambalo linaumiza Sana kwa wawekezaji wa michezo ya beti ni kuona  timu moja inakukosesha pesa kwakuwa matokeo yaliende tofauti na ulivyo tabiri huku timu nyingine katika mkeka zikienda vyema. Chaguo la cash out bado halitoshi kuokoa mikeka yako hivyo katika makala hii nitakuorodheshea kampuni ambazo hata ukipoteza mechi yako katika tiketi yako bado utalipwa na kuhesabika kuwa umeshinda.

Kampuni hizo ambazo kulost timu moja hakukuchanii mkeka ni hizi.1. Pmbet tanzania, kupitia Pmbet vilevile timu moja haiwezi kuchana mkeka wako ili kujiunga na Pmbet Tanzania  Gusa >>HAPA>>


2. Gal sport Tanzania kupita Gal sport unaweza kuokoa mkeka wako kwa asilimia 50% pale timu moja itakapoenda ndivyo sivyo katika mkeka wako, kujiunga na Gal sport Tanzania Gusa >>HAPA>>


Muhimu kila kampuni huwa na vigezo na masharti yake hivyo ni vyema kuangalia katika kampuni husika. Mpaka hapo utakuwa unaweza kuokoa mikeka yako inayokuchania kwa timu moja.


Soma pia 

1. Kampuni Bora za kubeti Tanzania

2. Helabet Tanzania

3. 888bet Tanzania