Gwalabet Tanzania bet bure
Beti bure na Gwalabet app 
Kujiunga na Gwala bet Bofya >>HAPA>>


Kampuni ya kubeti ya Gwala bet Tanzania inazo ofa mbalimbali kwa wateja wake Kama ifuatavyo 


KUJIUNGA NA GWALA BET NA KUBETI BURE KILA SIKU GUSA >>HAPA>>


1. Bet Bure Kila Siku

1. Kila akaunti iliyosajiliwa inapata bet bure ya 500 kila siku bila kujali mtumiaji ameweka Pesa au hajaweka.

2. Bet hii ya bure ni moja kila siku, Mteja asipoitumia inaisha muda wake kila baada ya Masaa 24.

3. Kiwango cha juu zaidi cha ushindi ni 2,000

4. Mkeka wenye machaguo mengi unatakiwa uwe na zaidi ya odds 2.0 na kila mechi inatakiwa kuwa na odds zaidi ya5/10 (1.50) 

5. Mkeka utahesabiwa mara tu baada ya mechi kumalizika, kiasi kilichotajwa kuwekwa kitakatwa kwenye bonasi yako ya ushindi


SOMA PIA HELABET TANZANIA

6. Bet iliyositishwa au bet iliyofanyiwa Cash out au bet iliyowekwa kutokana na free Bet haitatumika wakati wa mchakato wa malipo.

7. Kiwango chako cha bonasi na aina yoyote ya ushindi itahamishwa kutoka “sport bonus balance” kwenda kwenye “sport cash bonus” baada ya kila hatua kukamilika unaweza kuzitoa kama pesa taslimu.

SOMA PIA PARMACH TANZANIA.TANZANIA UPATE BONUS YA 1,000,000 UKIWEKA SALIO. 

8. Endapo utatumia bonasi mbili tofauti kubashiri matokeo ya mechi moja bet hizo hazitahesabiwa muda wa taratibu za malipo na huenda ikachukuliwa kama udanganyifu hali inayoweza kusababisha bonasi kuondolewa kwenye akaunti yako.

9. Ofa hii haitatumika kama kiunganishi, mchango au kiunganishi kwenye ofa zingine.

10. Gwala ina haki ya kuzuia bonasi yoyote au ushindi ulipatikana kama bonasi ikibainika bonasi iliwekwa kwa makosa. 

11. Gwala ina haki ya kusitisha, kubadilisha or kuzuia ofa hii kwenye hatua yoyote bila kutoa taarifa

12. Matumizi yoyote mabaya ya bonasi ambayo yatapelekea ushindi usio wa haki kampuni itaondoa haki ya zote za bonasi kwenye akaunti yako.

13. Endapo Timu yetu itagundua kuna aina yoyote ya udanganyifu, maamuzi yake ni kusitisha au kuifungia kabisa akaunti. Kwa kukubali ofa hii unakubaliana pia na kigezo hiki.

KUJIUNGA NA GWALA BET NA KUBETI BURE KILA SIKU GUSA >>HAPA>>


2. Cash Out ya GwalaBet

Cash out inapatikana kama umetimiza vigezo vifuatavyo:

Kwa bashiri ya mechi moja (single bet) na kwa bashiri ya mechi zaidi ya moja (multibet)

Kwenye bashiri ya mechi moja lazima mteja abashiri kwa kuanzia kiasi cha shilingi 500 na kuendelea

Kwa bashiri ya mechi nyingi ni kuanzia mechi 3 na kuendelea na lazima mechi moja iwe tayari imeshinda.

Cashout inapatikana kwenye masoko haya hapa chini tu:

(1x2) Timu ya nyumbani kushinda, sare na timu ya ugenini kushinda

Double chance

Both team to score.

Jinsi ya kucashout:

Mkeka wenye mechi zaidi ya moja ili ucash out ni lazima mechi moja iwe imeshashinda

Hautaweza ku cash out kama umetumia free bet.

Kama umebetia mechi zinazo endelea hatua ruhusiwa ku cash out

Katika bashiri ya mechi moja utaruhusiwa kufanya cash out hata kama mechi bado inaendelea kucheza.

Nenda sehemu ya bet zako, fungua mkeka ambao bado haujapoteza.

Angalia kama Cashout yako inakuruhusu ku cashout kwa muda huo na kiasi unachokipata.

Kama umeridhika na kiasi kilichotolewa, bonyeza alama ya thibitisha na akaunti yako itawekewa kiasi hicho mara moja baada ya ku cashout.


Tano Bonasi

Tano Bonasi

Bonasi hii inatolewa kulingana na kiwango anachoweka Mteja kama atafikia vigezo tajwa hapo chini. Bonasi hii inatolewa kila siku lakini inatakiwa kufanyiwa uhakiki (Inaweza kutokea kila wiki au kila mwezi)

Jinsi ya kupata

Mteja anatakiwa kuweka Pesa kwenye akaunti yake, kiwango cha chini zaidi cha siku husika ni 2000, haijalishi ni mara ya ngapi kuweka pesa iwe ya kwanza, Pili au zaidi.

Kama Karibu Bonasi imetolewa siku sawa na ofa hii, Mteja hataweza kutumia Kula tano Bonasi ni lazima ziwe siku tofauti.

Mteja ataweka Cash bet katika michezo yoyote (Live, Michezo ambayo bado haijaanza)

Kiwango cha chini cha odds kwa kila mechi ni 1.5

Ikiwa jumla ya kiwango ulichoweka kwenye mkeka kinaanzia 2000 (kiwango cha chini kilichopitishwa kwenye bonasi hii) na Mkeka wako ukachanika, Mteja atakuwa na haki ya kupatiwa ofa hii.

Bonasi inatolewa kulingana na kiwango alichoweka mteja

Tofauti ya Kiwango kinachorejeshwa

Ukiweka 2,000-19,999 inarejeshwa 500
Ukiweka 20,000-49,999 inarejeshwa 1,000
Ukiweka 50,000-99,999 Inarejeshwa 1,500
Ukiweka 100,000-199,999 Inarejeshwa 2,000
Ukiweka 200,000-499,999 Inarejeshwa 3000
Ukiweka 500,000-999,999 Inarejeshwa 4000
Ukiweka 1,000,000 na zaidi Inarejeshwa 5,000

Bonasi inakusanywa kutoka kwenye waleti ya rejesho la kiasi ulichoweka na inatumika ndani ya siku 7 tu.

Jinsi ya kutumia

Hakuna masharti kutumia hii

Gwala la Kibabe

Multi bet refund(Kula Gwala la Kibabe)

Ofa hii ni kwa mteja ambaye mechi zake zote zimeshinda lakini moja tu ndio hajabahatika kushinda, anapata kiasi Fulani cha pesa kwa vigezo vifuatavyo:

-Mteja ameweka mkeka wake

- Kiwango cha chini cha mkeka ni 500

- Kiwango cha chini cha Odd kwa kila mechi ni 1.11

-Mechi kuanzia 5

- Mechi moja tu kati ya zote ndio iwe imeshindwa

Kama vigezo tajwa hapo juu vitafikiwa, mfumo wa kupata kiasi chako cha pesa ni kama ifuatavyo:

Mkeka wa Mechi 5-6 Unapata rejesho la 5% ya kiasi ulichoweka 

Mkeka wa Mechi 7-8 Unapata rejesho la 7% ya kiasi ulichoweka

Mkeka wa Mechi 9-10 Unapata rejesho la 8% ya kiasi ulichoweka

Mkeka wa Mechi 11-12 Unapata rejesho la 10% ya kiasi ulichoweka.

Mkeka wa Mechi 13-14 Unapata rejesho la 12% ya kiasi ulichoweka.

Mkeka wa Mechi 15-16 Unapata rejesho la asilimia 13% ya kiasi ulichoweka.

Mkeka wa Mechi 17-18 Unapata rejesho la 14% ya kiasi ulichoweka.

Mkeka wa Mechi 19-20 Unapata rejesho la 15% ya kiasi ulichoweka.