Hatua kwa hatua jinsi yakujiunga na Gal sport   Na jinsi ya kujiunga na kuweka pesa


Kujiunga na Gal sport Gusa >>HAPA>>

Kuweka pesa kwa simu

● Ingia kwenye akaunti yako
● Chagua akaunti ya simu
● Andika kiasi unachotaka kuweka
● Bofya kitufe cha kuanza mchakato wa kuweka 

Utapata ukurasa ibukizi wa USSD, ingiza namba yako ya siri kumalizia kuweka.

Kuweka na USSD

1 – Piga *150*01# 
2 – Chagua (4) Lipia bili
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri

SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

1 – Piga *150*60# 
2 – Chagua (4) lipia bili kwa Airtel
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

1 – Piga *150*00# 
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Mpesa
3 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
4 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
5 – Ingiza Kiasi
6 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

halotel kuweka

1 – Piga *150*88#
2 – Chagua (4) Lipia bili kwa Halo Pesa
3- Chagua (3) nambari ya Kampuni
4 – Ingiza Namba ya Kampuni 277766
5 – Ingiza Kumbukumbu Namba xxxx (your User ID)
6 – Ingiza Kiasi
7 – Hakikisha kwa kuingiza namba yako ya siri.

Kuweka kupitia duka 

● Tembelea duka letu lolote 
● Mpe wakala namba yako ya mteja (inapatikana unapo bofya wasifu wa akaunti yako juu)
● Utapewa risiti na KODI YA KUWEKEA
● Itabidi kuingiza kodi hii ya kuwekea katika ukurasa wa kuwekea ndani ya menyu ya duka

1 -Tembelea duka lililopo karibu yako ukiwa na   namba ya akaunti yako na umpatie Mhudumu wetu kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako.
2 – Utapewa risiti yenye Code za malipo. (Angalizo: code hii ni maalumu na itakubali kwenye akaunti yako tu).
3 – Ingia kwenye akaunti
4 – Bonyeza kuweka
5 – Chagua “Shop”.
6 – Andika code ulizopewa, bonyeza Maliza muamala – hongera umefanikiwa kuongeza pesa kwenye akaunti yako sasa unaweza anza kubashiri.