![]() |
Kuweka pesa wasafi bet |
Jinsi ya kuweka pesa kwenye kampuni ya kubeti ya wasafi bet
Wasafi bet app tz download|www.wasafibet.co.tz | kujisajili wasafibet
Kiasi cha chini cha Amana ni TZS. 100 na kiwango cha juu zaidi ni malipo ya kipekee ya akaunti yako ya Mobile Money.
VODACOM MPESA
- Piga *150*00#
- Bonyeza namba 4 (Lipa kwa Mpesa)
- Bonyeza namba 4 (Weka namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni(123333)
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo(wasafibet)
- Weka kiasi
- Weka namba ya siri – thibitisha
SOMA PIA KAMPUNI BORA ZAKUBETI TANZANIA
TIGO PESA
- Piga *150*01#
- Bonyeza namba 4(Lipa bili)
- Bonyeza namba 3(ingiza namba ya kampuni)
- Ingiza namba ya kampuni(666123)
- Ingiza kiasi
- Ingiza namba ya siri kuhakiki