MWANAFUNZI WA CHUO ASHINDA BILION 4 JACKPOT BETIKA

 Mwanafunzi Eli Kipruto 22 wa Jomo Kenyatta University Kenya kajishindia ksh 200M(karibu bilioni 4 za kitanzania) baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 17 kwenye kampuni ya betika.

Pamoja na ushindi huo akihojiwa kijana huyo amesema anataka amalize shule na hana mpango wa kuoa.

Chanzo: NTV Kenya

Post a Comment

0 Comments