Katika makala hii tutajifunza namna mbalimbali za kutangaza kampuni ya betting kwaajili ya marketing manager, affiliates, na media buyer


1. Kutangaza katika social media Kama Facebook, YouTube, tiktok, Instagram, na mitandao mingine


2. Matangazo ya kulipia katika mitandao ya kijamii


3. Kununua traffic katika mitandao mikubwa ya utangazaji Kama vile, PropellerAds, Cleverads,

 GoogleAdsense, mgid , etc au katika tovuti zinazotoa live matokeo ya mipira na michezo mingine


4. Sponsored post katika mitandao au website zenye maudhui ya betting au sports Kama vile www.masshele.com


5. SEO MARKETING, kutumia searching engine kupata wateja Njia hii ndiyo yenye wateja wa thamani ukilinganisha na njia nyingine


6. Copywriting , selling stories


Mambo ya Muhimu ya kuzingatia

1. Epuka kutangaza kwa njia ya banner au sponsored link katika site zenye matangazo ya pop au redirected ads

 kwakuwa hutapata wateja.


2. Kwa Tanzania kutangaza kwa njia ya banner ads katika mitandao au site ambazo maudhui yake hayahusiani na betting hautaweza kupata matokeo


3. Njia ya SEO ndio inayopendekezwa zaidi kwani ndiyo yenye tija ukilinganisha na njia nyingine


itaendelea

Tuandikie katika  Pepe hii

info.masshele@gmail.com