10bet kuondoka Tanzania



 Tumepokea habari kuwa kampuni ya 10bet inayoendesha michezo ya utabiri wa mpira wa miguu Africa katika nchi za Tanzania, Zambia, Ghana na  Africa kusini inatarajiwa kufunga kazi zake nchini Tanzania Kati ya June 19 mwaka huu ambazo ni siku chache zimepita tangu 10bet walipotangaza kuondoka pia Kenya. Katika taarifa Yao 10bet wameandika kujikita zaidi katika soko la Africa kusini, huku sababu za kuondoka Tanzania zikiwa hazitajwa. Hata hivyo 10bet unaendelea kufanya kazi zake na hakuna taarifa yeyote iliyotolewa kwa wateja wake kuhusu kuhama kwa kampuni hii Tanzania Hadi Leo June 13. Tutakuletea taarifa zaidi.

Bofya HAPA kuangalia kampuni nyingine mbadala wa 10bet Tanzania

Post a Comment

Previous Post Next Post