Kampuni ya michezo ya betting na casino za mtandaoni sportpesa imeanza rasmi kuendesha mchezo maarufu wa kasino ya mtandaoni unaojulikana Kama aviator. Kuanzia Sasa mchezo huo utapatikana kwa wateja na watumiaji wote wa programu za kampuni hiyo. Aviator nimchezo wa kurusha ndege ambapo mchezaji anatakiwa kuchukua ushindi wake kabla ndege hiyo haijaanguka au kuungua. Mchezo huu wa aviator umezidi kupata wafuasi wengi hasa katika bara la Afrika tangu ulipogunduliwa na kutengenezwa mwishoni mwa mwaka Jana. He umewahi kucheza mchezo wa Aviator na kupata ushindi mkubwa?

SOMA PIA KAMPUNI ZENYE MCHEZO WA AVIATOR TANZANIA