Kuweka na kutoa pesa 1xbet Tanzania

 

Njia za kutoa na kuweka pesa kwa 1xbet Tanzania

Kwa kipindi kirefu kulikuwa na changamoto ya kuweka na kutoa pesa katika kampuni ya 1xbet kwa Tanzania kutokana na watanzania wengi kutozijua njia za kisasa na za kidigitali za kufanya miamala mtandaoni. Badala yake watumiaji wengi wamezoea kutumia njia za malipo ya kutoa na kuweka kupitia njia ya simu za mkononi Kama vile Airtel money, M-PESA, Tigo pesa na kadhalika. 
Habari njema kwa Sasa ni kuwa Sasa unaweza kutoa na kuweka pesa kwa njia ya simu za mkononi kwa njia ya 1xbet wakala Tanzania. 
Jinsi ya kutoa pesa 1xbet kwa simu ya mkononi.
1. Kwanza hakikisha una account ya 1xbwt kma hauna jisajili kwa kubofya >>HAPA>> Jaza promo code ya 1xbet ya kupata Bonasi Jaza TANZANITE5 Kisha kamilisha usajili.
2. Bofya palipoandikwa Deposit itakuonesha njia mbalimbali za kuweka na kutoa pesa. Chagua palipoandikwa E-currency  exchange utaona mawakala wawili ambao ni Muju shop na Romano HQ, Bofya Romano HQ itakupeleka moja kwa moja WhatsApp tuma ujumbe kuwa unataka kutoa ama kuweka pesa atakupa maelekezo rahisi ya kulipa kwa simu na hela hiyo itakuwa kwenye account yako ndani ya sekunde kadhaa. 
Kutoa pesa 1xbet Tanzania 
Katika kutoa pesa 1xbet Tanzania ni rahisi Sana kwa Sasa, Ingia katika account yako ya 1xbet Tanzania chagua withdraw chagua njia ya wakala mtumie wakala ujumbe kuwa unataka kutoa pesa atakupa adress na na maelekezo rahisi Kisha utatumiwa pesa yako kwa njia ya simu za mkononi Kama kawaida.

Njia nyingine za kutoa na kuweka pesa 1xbet Tanzania ni
Njia ya bank Visa na master card
Nina ya Skrill walet
Njia za Bitcoin
Na njia nyinginezo
Faida za kujisajili 1xbet tanzia
Zipo faida mbalimbali za kubeti na 1xbwt Tanzania ambazo ni kuwa na odds kubwa, options nyingi za kubeti, michezo mingi miongoni mwa faida nyingine.

Promo code Ya 1xbet Tanzania
Promo code ya kujiunga na 1xbet Tanzania na kupata Bonasi yako ukiweka fedha ni TANZANITE5 
Bonasi za 1xbet
-Bonasi ya ukaribisho ukiweka pesa kwa Mara ya kwanza
-Bonasi ya tarehe yako ya kuzaliwa
-Bonasi ya ukipoteza michezo mfululizo
-Bonasi ya kila sikukuu.
Hitimisho

1 Comments

  1. Kwani haiwezekani kutoa pesa moja kwamoja bila kutumia wakala?

    ReplyDelete
Previous Post Next Post