Muonekano wa ukurasa wa mbele wa throne bet Tanzania.

Throne bet Tanzania ni miongoni mwa kampuni za michezo ya betting/kubahatidha tanzania. Kampuni hii imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu na kuruhusiwa kuendesha shughuli zake Tanzania. Throne bet inajihusisha kuendesha maduka ya michezo ya kubashiri mpira wa miguu pamoja na tovuti ya betting mtandaoni.

Usajili wa Throne Bet Tanzania

Soma pia kampuni Bora za kubeti Tanzania

Licensed by the MINISTRY OF FINANCE AND PLANING GAMING BOARD OF TANZANIA - LICENCE NUMBER SBI000000024. Gambling

Hivyo Throne bet inaendesha shughuli zake kihalali pasipo na shaka katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu Tanzania.

Thone Bet tz apk Download

Kwasasa kampuni ya throne bet haina Application kwaajili ya watumiaji wake unaweza kutumia throne bet kupitia tovuti yake ambapo utajisajili throne bet kuweka pesa na kuanza kucheza

KUWASILIANA NA THRONE BET TANZANIA

Jeuanatatizo lolote na ungependa kuwasiliana na throne bet Tanzania? Unaweza kuwasiliana na throne bet kupitia mawasiliano yafuatayo e-mail ya throne bet Tanzania support@thronebet.co.tz au kwa kupiga namba ya simu ya thronebet 0800-71-21-00

Pia throne bet inaendesha maduka mbalimbali ya michezo ya bahati nasibu katika maeneo ya buguruni, Argentina, kinondoni miongoni mwa sehemu nyingine