Kampuni ya kubeti ya Gobet Sasa imesajiliwa Tanzania na Sasa itafahamika kwa jina la Gobet Tanzania na kupatikana katika kikoa Cha mtandaoni Cha Gobet.co.tz, Gobet Tanzania imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati nasibu na kupewa utambulisho ufuatao,

goBet trading under Nanovas Tanzania Limited trading is licensed by the Gaming Board of Tanzania with licence number SBI000000026

Soma pia: App nzuri za kubeti Tanzania

Jinsi ya kujisajili na Gobet Tanzania 

  • Ili uweze kufungua account ya Gobet Tanzania fuata Hatua zifuatazo,
Tembelea tovuti ya Gobet tz au Bofya >HAPA> na ujaze namba yako ya simu Kisha Jaza tarakimu nne na kukamilisha usajili wako 

ANGALIA PICHA JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA GOBET TANZANIA



Screenshot ikionesha jinsi ya kufungua account ya Gobet Tanzania

Soma Pia : KAMPUNI BORA ZA KUBETI MTANDAONI
  • Faida za kubeti na Gobet Tanzania ni Kama zifuatazo
  1. Bonasi ya ukaribisho ya TSH 500 Kama freebets 
  2. Bonasi ya asilimia 100 pale utakapoweka pesa kwa Mara ya kwanza kwenye account yako.

JINSI YA KUWASILIANA NA GOBET TANZANIA
unaweza kuwasiliana na Gobet Tanzania kupitia nambari ya simu ya Gobet au kuchat live na Gobet tz, vile vile unaweza kuwatumia ujumbe Gobet tz kupitia barua pepe yao


Barua pepe ya Gobet Tanzania ni , support@gobet.co.tz

Namba ya simu ya Gobet tz Ni +255746985030

Hitimisho: bado tunaendelea kupitia huduma zitolewazo na kampuni ya kubeti ya Gobet ili kujua ubora na ufanisi wa kampuni hii  mpya katika soko la Tanzania