Pmbet tanzania Ni kampuni ya kubeti madau mtandaoni pamoja na michezo ya kasino, inayofanya kazi Tanzania kwa mujibu wa sheria na bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania.

Hatua za kujiunga na Pmbet Tanzania

1. Fungua tovuti ya Pmbet tz na kuanza kujaza taarifa za kujisajili au bofya >HAPA>

2.  Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0

3. Jaza password yako ambayo utatakiwa kuikumbuka

3. Dhibitisha password yako kwa kuandika tena.

4. Jaza tarehe ya kuzaliwa, mwezi na mwaka wakuzaliwa.

5. Jaza promo code ya Pmbet tz ambayo ni A84

6. Jisajili utapokea ujumbe wenye code maalumu Jaza na ukamilishe usajili

Angalia Picha Hatua za kujisajili Pmbet tanzania

Hatua kwa Hatua kujisajili na Pmbet Tanzania
FAIDA ZA KUJIUNGA NA PMBET TANZANIA
Zipo faida mbalimbali ambazo unaweza kuzipata pale ambapo utajiunga na Pmbet Tanzania na kuanza kuweka madau yako na Pmbet tanzania faida hizo Ni pamoja na 
Free bet za Mara kwa Mara kutoka Pmbet Tanzania, Kushinda gari na Zawadi nyingine Kama simu kutoka Pmbet Tanzania kutokana na kucheza michezo ya kasino na slots kutoka Pmbet tanzania, Ofa ya Pmbet cash out na kadhalika.

PROMO CODE YA KUJIUNGA NA PMBET TANZANIA
Ili uweze kujisajili na Pmbet Tanzania lazima uwe na promo code ya Pmbet ya kujiunga na Pmbet ambayo ni A84 , prom code hii hujazwa wakati wa kujiunga na Pmbet Tanzania. 

KUJIUNGA NA PMBET TANZANIA KUNACHUKUA MUDA GANI?

Kujiunga na Pmbet tanzania Ni Jambo rahisi na la haraka na account yako utaanza kuitumia muda huo huo kuanza kuweka madau yako. Hivyo kujiunga na Pmbet tz hakuchukui muda wako 

HATUA ZA KUWEKA PESA PMBET TANZANIA UKISHA JIUNGA NA PMBET 

Ili uweze kuweka salio katika account yako ya Pmbet Tanzania ukishafungua account ya Pmbet fuata Hatua zifuatazo. Kwanza hakikisha una salio katika account yako ya Mpesa, Tigo pesa, halopesa na kadhalika Kisha fuata ya fuatayo,

Bofya mtandao husika wa namba uliyojiunga Pmbet Tanzania Kama umejiunga kwa namba ya Vodacom Tanzania Bofya Vodacom instant Weka kiasi na endelea /continue kukamilisha muaamala na mitandao mingine hivyo hivyo au unaweza kuweka pesa kwa njia ya ussd 

Orodha ya mitandao unayoweza kutumia kuweka pesa kwenye account yako ya Pmbet Tanzania

JINSI YA KURUDISHA PASSWORD YA PMBET ULIYO SAHAU WAKATI WA KUJIUNGA NA PMBET

Ikiwa umesahau password yako ya Pmbet uliyojiunga nayo unaweza ku omba password nyingine kwa kubofya request new password inayopatikana katika tovuti yako ya Pmbet Tanzania www.pmbet.co.tz


JE UNGEPENDA KUWASILIANA NA HUDUMA KWA WATEJA PMBET TANZANIA

Ikiwa unakumbwa na shida yeyote wakati wa kujisajili na Pmbet Tanzania unaweza kuwasiliana na Pmbet Tanzania kupitia mawasiliano ya Pmbet tz Kama vile namba ya Pmbet Tanzania , email au kuwasiliana na Pmbet tz moja kwa moja kupitia live chat.

+255746004003 namba ya simu ya Pmbet tanzania au email support@pmbet.co.tz

Angalia mawasiliano ya Pmbet Katika picha hapa chini 

Mawasiliano ya Pmbet tanzania

Hitimisho: kumbuka kuweka day zako kistaarabu na kuchukulia michezo ya kubeti Kama burudani