Jinsi ya kujisajili na Premierbet Tanzania

Jinsi ya kujisajili na Premierbet Tanzania


Hizi Hapa hatua kwa hatua jinsi ya kujisajili na Premierbet 

Premierbet Ni Kampuni Bora ya kubashiri mikeka upande wa mtandaoni  na nje ya mtandao (betting shops) inayongoza kuwa na odds kubwa na option nyingi.

ZIPO FAIDA NYINGI ZA KUBET NA PREMIERBET;

  •  Bonasi 100% ukijisajili na kudeposit kwa Mara ya kwanza sawa na kiasi ulichoweka kwa Mara ya kwanza kwenye account yako ya premierbet Tanzania
  • Free bets za Mara kwa mara na Cashout 
  • Jackpot ya bure 
  • Michezo ya aviator,virtual na casino
  •  Bonus ya kupoteza mkeka hakuna kuchaniwa mkeka na timu moja Tena.

JINSI YA KUJISAJILI NA PREMIERBET

1. Hatua ya kwanza unatakiwa kuingia kwenye tovuti ya PremierBet kwa ku Bofya >>HAPA<<

2. Ukishaingia kwenye tovuti ya Premier Bet, utabofya kitufe kilichoandikwa “Jisajili” kilichopo upande wa juu kulia mwa ukurasa mkuu wa tovuti.

3. Wachezaji wanaotaka kujisajili Premier Bet Tanzania wanaweza kuchagua kati ya fomu ya usajili kwa haraka au fomu ya usajili kamilifu.

4. Baada ya kubofya kitufe cha “Jisajili”, fomu ya kwanza kufunguka itakuwa ya usajili wa haraka.|

Kuhusu fomu ya usajili wa haraka fata hatua hizi;

I)Utajaza namb ya simu bila kuanza na 0 mfano; 716781765,

II) Utajaza Neno la siri utakalotumia tarakimu zisipungue 8 mfano; Simba1234 na baada ya Hapo utaconfirm password au neno la siri lako kwa kurudia Tena kwa usahihi Kama ulivyoandika Hapo juu,

III) Kisha unatakiwa kuweka tiki kwenye kisanduku ili kuthibitisha  umri unaokubalika kisheria, na kwamba unakubali vigezo na masharti ya PremierBet

 Iv) Mwishowe, ili kukamilisha ujazaji wa fomu ya haraka, wachezaji wanatakiwa kubofya kitufe cha “Tuma Code ya Usajili.” Utatumiwa code ya udhibitisho kwenye number yako uliyotumia kwenye usajili utacopy code hiyo nakujaza ili kukamilisha usajili. Account yako ya PremierBet itakua tayari kwa kutumia unaweza kuweka pesa na kufurahia huduma nzuri za Premierbet kwa kucheza michezo mbalimbali.

NB:Kwa usajili wa haraka hizo ndo njia za kufata kufungua account lakini Ni vyema kukamilisha usajili wako kwa kubofya kwenye profile yako na kujaza taarifa zako muhimu Kama jina lako kamili tarehe na mwaka wa kuzaliwa n.k 

Jisajili sasa na Premierbet kwa kubofya >>HAPA<<

Hitimisho

Ndani ya premierbet Tanzania unaweza kubashiri michezo mbalimbali ya mpira wa miguu pamoja na michezo ya virtual na farasi, vilevile unaweza kucheza michezo mingi ya kasino inayopatikana ndani ya premierbet .



Post a Comment

Previous Post Next Post