Kubeti bila bando

 

Kubeti bila bando

Je nikweli unaweza kubeti bila bando? Watu wengi wamekuwa wakiuliza ikiwa inawezekana kubeti mkeka bila kuwa na bando kwenye simu. Ukweli nikwamba jibu Ni ndio zipo kampuni za kuweza kubeti bila kuwa na kifurushi Cha bando kwenye simu yako

KAMPUNI ZA KUBETI BILA BANDO TANZANIA

Pamoja na kuwa na kampuni nyingi za kubeti mtandaoni nchini tanzania zipo kampuni chache unazoweza kubeti bila kuwa na bando kwenye simu yako Kama ifuatavyo

  • Pmbet Tanzania 

Kampuni ya kubeti ya Pmbet tanzania mteja unaweza kubeti bila kuwa na bando kwenye simu yako. Mradi tu simu yako Ni simu janja na yenye vichakataji vya kuperuzi mkondoni. Utajiungaje na Pmbet Tanzania ili ubeti bila kutumia bando?

Kujiunga na Pmbet Tanzania Bofya>HAPA> ikiwa utaulizwa kuhusu Pmbet promo code Jaza A84

  •   Meridian Bet Tanzania
Kampuni ya kubeti ya meridian bet Ni miongoni mwa kampuni kongwe za kubeti mtandaoni na katika maduka nchini Tanzania. Mteja wa meridian Bet anaweza kubeti bila kutumia bando kwa njia ya USSD katika simu take hata ikiwa simu yake Ni kiswaswadu. 
Jinsi ya kubeti bila bando kupitia meridian bet
Piga *149*10*1109# ok Kisha fuata maelekezo kwa kuchagua lugha unayopenda kutumia (kiswahili ama kingereza)  Weka pesa kwenye account yako ya meridian bet na uanze kubeti bila bando

Unaweza kusoma kuhusu : Kampuni Bora za  kubeti Tanzania

Post a Comment

Previous Post Next Post