Kuweka pesa au kudeposit pesa kwenye kampuni ya 888starz Tanzania sio Jambo gumu , unatakiwa kuwa na account ya 888starz Tanzania Kama hauna account Bofya> Hapa >kufungua account yako ya 888starz , promo code kwa akili ya bonasi Jaza A84.
- Hatua za kuweka pesa 888starz Tanzania
1. Hakikisha umeshajisajili 888starz tanzania
2. Ingia kwenye tovuti ya 888starz Tanzania au katika app ya 888starz
3. Bofya sehemu iliyoandikwa deposit na uchague mtandao unaotaka kudeposit uliojisajilia
4. Watakwambia update au link phone number
5. Ingia sehemu ya profile yako.
6. Bofya Sehemu ya namba yasimu watakwambia update , Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0. Kisha tuma, utatumiwa Kodi maalumu au msimbo Jaza Kisha Save!
7. Rudi sehemu ya kudeposit weka kiasi , Kisha ukamilishe mchakato wa kuweka pesa kwa kujaza namba yako ya Siri na hela itakuwa kwenye account yako chini ya sekunde moja.
- Kutoa Pesa 888 Starz Tanzania.
Kutoa Pesa 888starz unaweza kutoa kwa njia ya Mpesa, Tigo pesa halopesa na Airtel money. Bofya withdraw na uchague njia unatotaka kutokea pesa. NB. Njia unatotaka kutoa pesa nilazima utumie njia uliyotumia kuweka deposit