Makampuni makubwa ya kubeti tanzania


 Wadau mbalimbali wa kubeti hasa kubeti mtandaoni Tanzania wamekuwa wakiuliza kuhusu makampuni makubwa ya kubeti mtandaoni katika makala hii tuta orodhesha baadhi ya makampuni makubwa ya kubeti mtandaoni. Kuli ngana na utafiti wetu tuliangalia vigezo mbalimbali Kama vile brand ya kampuni kitaifa na kimataifa, mvuto wa kibiashara, ushindi mkubwa, idadi ya wateja, idadi ya nchi kampuni hizo zinazofanya kazi na kadhalika. Orodha hiyo ya makampuni makubwa ya kubeti Tanzania hii Hapa.

1. 888 bet : kampuni ya kubeti ya 888bet inayomilikiwa na 888 holding iliingia kwenye masoko ya afrika tangu mwishoni mwa mwaka 2022 ambapo chini ya mwaka mmoja wateja zaidi ya milioni moja waliniunga katika kipindi kifupi. 888 bet inachukuliwa kuwa Ni kampuni kubwa ya kubeti kwani hufanya kazi zake kupitia kampuni mama sehemu nyingi Ulaya, pamoja na Africa Kama vile Kenya, Tanzania, Zambia, msumbiji, na malawi . Ndani ya 888bet Africa hawana kiwango Cha mwisho Cha Kushinda Yani unaweza kushinda hata hata zaidi ya Bilion kwa mkeka mmoja vile vile unaweza kucheza jackpot ya Kushinda Milioni 500 Bure . Tembelea 888bet Africa kwa kugusa >HAPA>

2. Betwinner Tanzania : betwinner Ni kampuni inavyofanya kazi katika nchi nyingi Duniani hivyo Ni miongoni mwa kampuni zenye mitaji nikubwa katika tasnia ya michezo ya nasibu betwinner pia Ina michezo tofauti tofauti ambayo inaweza kukupa ushindi mkubwa kutembelea Betwinner Tanzania Bofya >HAPA>

3. GAL SPORT TANZANIA

Gal sport Tanzania ni miongoni mwa makampuni makubwa ya kubeti nchini. Gal sport pamoja na kumiliki maduka mengi ya michezo ya bahati nasibu vilevile gal sport hufanya kazi katika nchi mbalimbali Kama vile Tanzania, Uganda, Zambia, siera Leon, Liberia, Congo, Rwanda, na Mauritius unaweza kutembelea Gal sport Tanzania kwa kugusa >HAPA>

4. Betway Tanzania : Betway Tanzania inayomilikiwa na Betway Africa na Betway nimiongoni mwa kampuni kubwa katika michezo ya bahati nasibu au betting, Africa na Duniani kwa ujumla. Betway inadhamini vilabu vya Soka vikubwa duniani vilevile Betway hufanya kazi katika nchi mbalimbali Ulaya na Africa,  kwa Africa Betway hufanya kazi katika nchi za Ghana, Zambia, Malawi, south Africa, Kenya, Uganda, msumbiji, na Tanzania. Kutembelea Betway Tanzania Gusa >HAPA>

5. Meridiabet Bet Tanzania

Meridiabet bet Ni miongoni mwa kampuni kongwe za kubeti Tanzania. Meridiabet bet makao yake makuu nu Cyprus  na Serbia vilevile meridiabet bet hufanya kazi katika nchi mbalimbali duniani , kwa Africa Meridian bet Ni miongoni mwa kampuni kongwe za kubeti katika bara hili . Kutembelea meridiabet Bet Bofya >HAPA>

6. 1XBET TANZANIA : 1xbet tanzania Nikampuni ya kimataifa ya kubashiri mtandaoni inavyofanya kazi karibu katika nchi zote duniani yenye leseni ya Curacao. Unaweza kutembelea 1xbet Tanzania kwa kubofya >HAPA>

kwa mujibu wa utafiti wetu hata ndio makampuni makubwa ya kubeti mtandaoni . Orodha hii utaendelea kuboreshwa kwa kadiri ya maoni na  tafiti zetu binafsi

Post a Comment

0 Comments