Katika makala hii tutaeleza options au machaguo mbalimbali yanayopatikana katika kampuni za kubeti Tanzania ambayo unaweza kuweka mkeka wako na Kushinda options hizo nikama ifuatavyo
- Timu ya nyumbani Kushinda (home team to win) hupatikana kwa kubofya timu ya kwanza Kushinda 1
- Timu ya ugenini Kushinda 2 (away win)
- Double chance zaidi ya chaguo moja kwamfano timu ya nyumbani Kushinda au sare 1x au 2X au Ashinde yeyote 12
- Option ya Draw huwakilishwa na alama X
- Options ya handcup , hii mchezo inaanza kwa timu dhaifu au timu mojawapo kuwa na goli Kisha useme mchezo utakuwaje mfano Simba Vs Kagera(+2) hapo Kagera huhesabika tayari ana goli mbili kabla ya mchezo kuanza , ikiwa mchezo utaisha kwa Simba Kushinda goli mbili kwa 0, maana yake ni sare 2-2, ikiwa Simba atashinda 1 kwa 0 maana yake Kagera kashinda 2-1
- Options ya idadi za Kona zinazoweza kutokea katika mchezo
- Idadi ya faulo
- Timu yakwanza kufanya sub
- Madaktari kuingia uwanjani
- Idadi ya mpira ya kurusha
- Wingi wa magoli
- Timu kufungana
- Timu yakwanza kupata goli
- Timu ya mwisho kupata goli
- Kutokea penati
- Mchezaji kujifunga
- VAR kutumika
- Mchezaji fulani kupata goli
- Combination ya matokeo ya halftime na full-time
- Dakika au vipindi ambayo goli litapatikana
- Mchezaji kuumia
- Golikipa kufanyiwa substitute
- Mchezo kutokuwa na goli
- Golikipa kutofungwa clean shit
Hizo Ni baaadhi ya options mbalimbali za kubeti zipo pia options nyingine tutajadili zaidi katika makala nyingine. Nimuhimu kuangalia options yenye uhakika zaidi wakati wakufanya machaguo baadhi ya options maarufu Ni double chance na over 1.5, first half X, GG /BTS, Miongoni mwa machaguo mengine.