Ukweli kuhusu Meridian Bet
Meridianbet Ni kampuni ya kubashiri mtandaoni na katika maduka nchini Tanzania. Kampuni ya meridianbet Inamilikiwa na mhindi Dhiresh Kaba na imesajiliwa kwa mujibu wa Sheria tangu 2015. Huku ikisifika kutoa huduma Bora na ukomavu katika tasnia ya betting Tanzania.
Katika andiko Hili tutajadili
Yaliyomo
- Hatua za kufungua account ya meridianbet Tanzania
- Promo code ya meridianbet (Msimbo wa Ofa)
- Michezo inayopatikana Meridianbet
- Jinsi ya kuweka pesa
- Huduma zitolewaza na Bonasi
- Maoni yetu kuhusu meridianbet
- Mawasiliano au huduma kwa wateja Meridianbet
HATUA ZA KUJISAJILI MERIDIANBET
Huu Ni mchakato wa kukuwezesha kuwa na account ya meridianbet kwaajili ya kuweka madau mtandaoni. Fuata Hatua hizi kwa umakini kusajili account yako ya meridianbet
- Tembeleatovuti ya meridianbet tz au Bofya kiungo hiki >www.meridianbet.co.tz>
- Jaza au ingiza namba yako ya simu bila kuanza na 0
- Tengeneza password yako yenye mchanganyiko wa neno na namba mfano, kisoda8
- Jaza password kwa Mara ya pili
- Bofya palipoandikwa Msimbo wa ofa Kisha Jaza msimbo huo ambao ni 1109
- Bofya kiduara Cha kukubali sheria na masharti
- Bofya jisajili
- Utapokea sms ya codes kwenye simu yako Jaza na udeposit kuanza kufurahia huduma za Meridianbet
MSIMBO WA OFA MERIDIANBET (MERIDIANBET PROMO CODE)
Meridianbet promo code Ni msimbo wa ofa maalumu wa kujisajili Meridianbet ambao Ni 1109 , msimbo huu hujazwa sehemu palipoandikwa msimbo wa ofa wakati wa kujisajili au kufungua account yako ya meridianbet Tanzania
MICHEZO INAYOPATIKANA KATIKA TOVUTI YA MERIDIANBET
Ipo michezo mbalimbali inayopatikana katika tovuti ya meridianbet ambayo Ni pamoja na ubashiri wa mpira wa miguu, michezo ya casino , slots, michezo maarufu Kama vile aviator, miongoni mwa michezo mingine. Tembelea tovuti ya meridianbet kwa taarifa zaidi
JINSI YA KUWEKA NA KUTOA PESA [DEPOSIT AND WITHDRAW]
Kuweka na kutoa pesa Ni mchakato Muhimu ambao unapaswa kuifahamu. Ili uweze kuweka pesa katika account yako unatakiwa kuingia katika account yako ya meridianbet , Bofya sehemu palipoandikwa Deposit na ufate maelekezo . Unaweza kuweka pesa meridianbet kwa kutumia M-PESA Tigo pesa Airtel money halopesa na Selcom, vile vile kutoa pesa urabofya withdraw , utaingiza kiasi na fedha itaingia katika simu yako
HUDUNA ZITOLEWAZO NA MERIDIANBET NA BONASI
Zipo huduma mbalimbali zinazopatika katika tovuti ya meridianbet pamoja na Bonasi Kama ifuatavyo
- Bonasi ya kudeposit kwa Mara yakwanza
- Freebet za kasino
- Bonasi za casino Ukideposit
- Cashout
MAONI YETU KUHUSU MERIDIANBET
Kwa uchunguzi wetu tunapendekeza wewe kubashiri na kampuni ya meridianbet kwani tumeipitia na kuhakiki kuwa Ni miongoni mwa kampuni Bora zakubeti Tanzania
Kwa kiwango Cha Nyota nne Kati ya tank
🌟🌟🌟🌟
MAWASILIANO YA MERIDIANBET
Kwa Sasa unaweza kuwasiliana na meridianbet kwa njia ya simu ya mkononi ikiwa una shida au tatizo lolote , simu no 0768988200 au barua pepe , info@meridianbet.co.tz