![]() |
MBINU ZA KUBETI ZENYE MAFANIKIO |
Mbinu za kubeti
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza watumie mbinu gani rahisi na nzuri za kubeti ili waweze kufanikiwa katika mchezo huu. Katika makala haya tutaangazia kwa kina mbinu rahisi za kubeti na kukusaidia kuibuka mshindi
Yaliyomo katika makala hii.
11. Beti handcup
1.2 Jinsi ya kuchagua handcup
1.3 kampuni zenye handcup
2. Tafuta kampuni yenye options nyingi za kubeti
2.1 Orodha ya kampuni 3 za kubeti zenye options nyingi
3. Beti kampuni zenye cash out ya muda wowote
4. Jaribu mbinu ya odds chache day kubwa
5. Tumia mbinu ya double chance katika mkeka wako
6. Usibeti kiushabiki
7. Fanya utafiti kabla ya kuweka mkeka wako
8. Tumia mbinu ya kuangalia predictions
1.1 Beti handcup
Hi ni mbinu nzuri itakayokusaidia Kushinda mikeka yako. Handcup Ni mfumo ambao huipa timu goli au magoli au kuiondolea goli au magoli kabla ya mchezo kuanza. Kwa mfano. Katika mchezo huu, Simba Vs Yanga away/ugenini +2 hapa tayari yanga amepewa goli mbili kabla ya mchezo kuanza, kwa ufupi yanga ataanza mchezo akiwa mbele goli mbili, Kisha wewe uamue matokeo ikiwa Simba atashinda au atafungwa. Vilevile timu inaweza kuondolewa magoli kwa kuwakilishwa na alama -ve. Angalia mfano wa handcup katika picha hapa chini.
1.2 Jinsi ya kuchagua handcup
Jaribu kuchagua timu imara katika mchezo husika Kisha imepewa goli moja ,, Kuna asilimia kubwa zaidi za ushindi
1.3 Kampuni zenye handcup
Kampuni zenye handcup Ni hizi
1. 888 bet Jiunge kwa kugusa >>HAPA>
2. gal sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>
3. Helabet Jiunge kwa kugusa >HAPA>
2. TAFUTA KAMPUNI ZENYE OPTIONS NYINGI
Kampuni nzuri ya kubeti ni Ile yenye options nyingi za kubeti ambazo zitakupa machaguo mengi ya kuweka mkeka wako. Zipo options nyingi ambazo zitakusaidia kuibuka na ushindi wa mkeka wako
Baadhi ya kampuni zenye options nyingi za kubeti ni hizi
1. Pmbet tz Jiunge >HAPA>
2. Betway Jiunge >HAPA>
3. BET KAMPUNI ZENYE CASH OUT
Cash out itakusaidia kuokoa mkeka wako pale mambo yanapoenda sio sawa kulingana na mchezo husika. Ukiona baadhi ya timu zimeshashinda na hakuna uwezekano wa timu nyingine zilizosalia kushinda unaweza kucash out na kuondoka na chako kabla ya mambo hayajawa mabaya. Baadhi ya kampuni zenye cash out Ni pamoja na 888bet tz, Pmbet na Betway .
4. Jaribu mbinu ya odds chache dau kubwa. Kwa kawaida unapoweka timu nyingi kwenye mkeka wako inapunguza nafasi yako ya Kushinda. Yani timu nyingi zitakuweka katika nafasi kubwa ya kupoteza mkeka wako lakini unapochagua timu chache unakuwa katika nafasi nzuri ya Kushinda. Ndiposa unashauriwa kuchagua odds chache na kupandisha dau lako ili kuwa na nafasi nzuri zaidi ya Kushinda.
5. Tumia mbinu ya double chance
Mbinu ya double chance inakuwezesha kuchagua machaguo mawili mfano timu ishinde au isare, hivyo unakuwa na nafasi mbili za Kushinda, iwapo timu husika utashinda umeshinda, ikiwa imetoa sare pia itashinda.
6. Usibeti kiushabiki
Mbinu hii itawasaidia wale ambao wanabeti kiushabiki na kuongozwa na mihemko ya kiushabiki. Kwa kuwa wewe Ni shabiki wa Chelsea Basi unakuta unaijumuisha Chelsea katika mikeka yako bila kujali mienendo ya timu. Nimuhimu kuzingatia mienendo ya timu kuliko kuibeti kiushabiki.
7. Fanya utafiti kabla ya kuweka mkeka wako
Mbinu hii itakusaidia kuangalia mwenendo wa timu kabla ya kuwekeza pesa yako. Unaweza kufanya utafiti kwa kuangalia makutano baina ya timu zote mbili, mwenendo wa timu mbalimbali, idadi ya magoli yanayopatikana timu hizo zinapokutana, mienendo ya vikosi miongoni mwa mambo mengine.
8. Tumia mbinu ya kuangalia predictions
Predictions zitasaidia katika kukuonesha mwanga wa mchezo utakavyokuwa, ingawa sio kweli kuwa predictions zitakuwezesha Kushinda, unatakiwa kutumia na akili yako ili uweze kupata ushindi
Hitimisho
Pamoja na mbinu hizo Ni lazima uzingatie kanuni ya kubeti kistaarabu ili usipate hasara katika mchezo wa betting tunakutakia ushindi mwema.