Premier bet ni miongoni mwa kampuni bora zaidi za kubeti nchini Tanzania. Katika makala hii tutaangazia jinsI ya kujisajili na premierbet na promo code ya premierbet Tanzania .
Premierbet promo code ni neno, Ofa sehemu palipoandikwa Promo code jaza neno, Ofa , promo code hii ni kwaajili ya kupokea bonasu ya hadi 150% utakapodeposit kwa mara ya kwanza katika account yako.
Table of contents
-Historia ya premierbet
- Promo code ya premierbet
-Jinsi ya kujisajili premierbet
-Ofa za premierbet
Historia Ya premierbet
Kampuni ya premierbet inamilikiwa na Editec africa , ilianza kufanya kazi Tanzania tangu 2015 ikitoa huduma mbalimbali za kubashiri mtandaoni pamoja na casino mbalimbali.
Pamoja na hayo kampuni hii imekuwa ikitoa huduma nzuri kwa wateja, malipo ya haraka pamoja na options mbalimbali za kubashiri mtandoni pamoja na katika maduka sehemu mbalimba Tanzania na nchi nyingine Africa , kama vile, malawi, angola, msumbiji, liberia miongoni mwa nchi nyingine.
Promo code ya premier bet (premier bet promo code)
Hii ni neno maalumu ambalo hutumika wakati wa kujisajili kwa mara ya kwanza katika kampuni ya premier bet.
Jaza promo code [Ofa] kama promo code yako ya kujisajili premierbet .
| PREMIERBET PROMO CODE |
Jisajili premierbet |
Njia za kudepisit |
|---|---|---|
| Jaza, Ofa | Bofya <HAPA> | unaweza kudeposit kwa M-pesa |
| Pokea bonasi ya 150% | Ikiwa unaulizwa msimbo wa matangazo premierbet jaza neno, Ofa | Tigo pesa, Halopesa, Selcom &Airtel money |
Hatua za kujisajili Premierbet
Zipo hatua mbalinbali ambazo mtumiaji anatakiwa kufuata ili kuandikisha account yake mpya ya premierbet hatua hizo nikama ifuatavyo,
Msimbo wa matangazo ni code maalumu ya kujisajili premierbet. Sehemu pslipoandika msimo wa matangazo Jaza neno Ofa ili uweze kupokea bonasi wakati wa kudepositi .
Premierbet promo code Jaza neno, Ofa
Kwanini ni muhimu kutumia msimbo wa matangazo?
Msimbo wa matangazo kwa jina lingine hutambulika kama promo code. Ambapo ni code maalumu ya kujiunga kwa mteja mpya anayetaka kujiunga premierbet. Msimbo huo ni muhimu kwani hutoa bonasi ya zaidi ya 100% baada ya kudeposit kwa mara ya kwanza.
SOMA PIA: Msimbo wa ofa meridianbet ni 1109
Hatua za Kuwa na account Premierbet Tanzaniana
1. Tembelea tovuti ya premier bet tanzania
2. Jaza jina la kwanza
3. Jaza jina la baba au ukoo
4. Jaza namba ya simu bila kuanza na 0
5. Jaza tarehe ya kuzaliwa
6. Jaza nywila au password ambayo utaikumbuka mfano Simbamnyonge80
7. Jaza password kwa mara nyingine. Juu ifanane na chini (thibitisha nywila)
8. Jaza barua pepe
9. Jaza msimbo wa matangazo andika, au( Promo code ) Ofa
Jinsi ya kuweka pesa kwenye kwenye account yako ya premierbet.
Kuweka pesa kwenye account yako ya premier bet bofya sehemu iliyoandikwa deposit, kisha fuata maelekezo rahisi. Vilevile kutoa pesa nirahisi , ikiwa unasumbuliwa na changamoto yoyote wasiliana na premierbet huduma kwa wateja katika namba zifuatazo . 0800750032 .
Kumbuka kubashiri kistaarabu
Unaweza kudeposit katika account yako na kupokea bonasi mbalimbali ambazo hutolewa na kampuni ya kubashiri mtandoni ya premier bet.
Ofa za premier Bet
Zipo ofa mbalimbali ambazo hutolewa na kampuni ya kubashuri ya premierbet ambazo ni pamoja na , bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza katika simu yako ta hadi tsh milion moja. Kiasi hiki hutegemeana na kiasi mteja alichodeposit kwani hupokea 150% ya pesa aliyoweka kwa mara ya kwanza . Ipo mizunguko ya bure ya aviator na kadhalika.
Mchanganuo wa Bonasi ya Premierbet 150% na promo code [ Ofa]
Tsh 1000 bonus =1500
Tsh 10,000 bonus = 15,000
Tsh 100,000 bonus = 150,000
Tsh 1,000,000 bonus = 1,500,000
Kwa ufupi utapewa bonus sawa na kiasi ulichoweka + Nusu ya kiasi ulichoweka kama bonus. Bonasi hii ina sharti la kuibetia


0 Comments