Jinsi ya kipata odds za uhakika kila siku

 


Odds ni alama ambazo huzidishwa kupata kiasi utakachoshinda , alama hizo maalumu hupangwa katika vitabu vya kubashiri (sportbook) katika makala hii tutaeleza kwa undani jinsi unavyoweza kutengeneza odds za kukupa ushindi katika mkeka wako. Mambo ya kuzingatia wakati wa kuchambua odds , pamoja na kampuni za kubeti zenye odds (alama kubwa)

Contents

1. Jinsi ya kuchambua odds

2. Wapi utapata predictions

3. Kampuni zenye odds kubwa

4. Hitimisho

Jinsi ya kuchambua odds

Hii ni saanaa maalumu ambayo unaweza kuitumia katika kurahisisha ushindi wako katika mkeka , zingatia mambo mbalimbali wakati wa kuweka mkeka wako.

  • Angalia matokeo ya hivi karibuni timu hizo zinapokutana
  • Angalia matokeo ya angalau michezo 3 iliyopita, inaweza kukupa current form, au timu ina struggle kutoka katika matokeo mabaya, ama inaendeleza kushinda, ama kuendeleza kufungwa, kwamfano, timu iliyoshinda michezo mitatu mfululizo inaweza kuoata ushindi wa nne ama kutoa sare kulingana na timu inayocheza nayo
  • Anagali idadi ya magoli wanayofunga na Msimamo  wa magoli wa washambuliaji wake
  • Angalia hali ya majeruhi ya clab
  • Zungatia timu kama inapata matokeo ugenini ama nyumbani
  • Angalia kama mchezo ni wa derby, mara nyingi derby huisha kwa sare, card nyekundu, idadi ndogo ya magoli n.k
  • angalia current form ya golikipa wa timu husika kama anaruhusu magoli ama laa
Jaribu predictions za Mtandaoni
Wapo wataalamu mbalimbali ambao huweka prediction  mtandaoni , japo haziwezi sahihi kwa asilimia zote, wakati mwingine huweza kuwa sahihi kwa asilimia fulani baadhi ya prediction  za mtandoni 
1. Sportmole
2. Predictz
3.forebet

Kampuni za kubashiri zenye Odds kubwa
Hapa nitakuorodheshea kampuni 3 zenye odds kubwa na jinsi ya kuweza kujisajili. Odds kubwa ina maana kuwa ushindi wako utakuwa mkubwa kulinganisha na kampuni nyingine.
  1. 888bet Tanzania: kampuni hii inaongoza kwa kuwa na odds kubwa kulinganisha na kampuni nyingine yeyote . Vilevile hakuna kikomo cha ushindi na malipo yake ni ya haraka.
Kufungua Account ya 888bet bofya >HAPA>


     2. Gal sport Tanzania : Hii nikampuni namba mbili ambayo hutoa alama kubwa kuliko.kampuni nyingine ili kujiunga na Gal sport Tanzania bofya >HAPA>


3. Helabet Tanzania : Hii ni kampuni namba 3 ambayo hutoa odds kubwa kwa wachezaji wake pamoja na malipo ya haraka. Ili kujiunga na Helabet  bofya >HAPA>

Hitimisho: wakati wa kuandaa odds za ushindi epuka ushabiki, epuka tamaa, na mara zote ukumbuke kuwa matokeo yanaweza kutoka usiyo yatarajia

Post a Comment

Previous Post Next Post