Jinsi ya kudiposit kuweka fedha kwenye account yako ya primier bet


-kuweka mpesa primier bet
-kuweka tigo pesa primier bet
-kuweka airtel money kwenye primier bet

Fuata hizi hatua hapa
1. Fungua account yako ya primier bet  kwa kubofya HAPA

2. Ukisha fungua na kulog in bofya sehemu iliyoandikwa deposit

Baada ya hapo fuata hatua no

3.
Ingiza kiasi unachotaka kudeposit katika account yako

Baada ya hapo nenda hatua no 
4. Chagua njia ya malipo mfano tigo pesa

Kisha endelea hatua namba tano proceed
5.

Baada ya hapo  ingiza no yako ya simu Bila kuanza na 0 mfano 766605392 kama ni Mara yako ya kwanza kudeposit kisha bofya submit
6.


Baada ya hapo utaletewa code katika namba yako ziweke hizo code Bila kukosea katika kisanduku kinachoonekana 
7.

Hatua ya mwisho utaletewa kumbukumbu namba pamoja na namba ya kampuni iandike kisha ingia kwenye menyu ya mpesa au tigo pesa  ukamilishe malipo ufurahie ushindi.
Kumbuka kila unapotaka kudeposit  utafata maelekezo haya, na kumbukumbu namba hubadilika kwa kila muamala


Post a Comment

1 Comments