Jinsi ya kucheza Aviator ya 888 bet na kushinda


AVIATOR. Ndege ikiwa imepaa na kufikia Mara 4.16 ya hela iliyowekwa


AVIATOR ni mchezo mpya wa kibunifu wa kurusha ndege huku ukishuhudia mpunga wako ukipanda kadri ndege inavyopaa. 


Jinsi ya kucheza Aviator

Kucheza mchezo wa Aviator sio jambo gumu. Unatakiwa kuweka stake yako, au kiwango Cha bashiri na kusubiri ndege ipae, kadri utakavyo subiri ndivyo kiwango chako Cha mapato utaona kinakua. Lakin ndege huweza kuanguka au kuungua wakati wowote ambapo utakuwa umepoteza beti yako Muhimu ni kufanya makadirio mazuri na kuusoma mchezo. 


Jinsi ya kucheza Aviator ya 888bet yenye Mshiko zaidi.

1. Hatua ya kwanza unatakiwa kufungua account ya 888bet kwa kugusa <<HAPA>>

2. Hatua ya pili deposit kwenye account yako na utafute Aviator.

3. Weka kiwango Cha bashiri ndani ya Aviator mfano 200 Kisha subiri ndege ianze kupaa.

4. Cash out au chukua ushindi wako kabla ya ndege kulipuka.

5. Rudia zoezi Hilo kadri upendavyo 


1 Comments

Previous Post Next Post