Miaka ya hivi karibuni kampuni mbalimbali zimewekeza katika michezo ya bahati nasiku Tanzania. Baadhi ya makampuni hayo ni, meridian bet, M-bet, primier bet, play master, betpawa, mkekabet, bikosport, soka bet, throne bet, 1xbet, pigabet, mcheza, superbet, sokabet, sportpesa na mingineyo. Pamoja na hayo bado kuanchangamoto kubwa kutoka na na suala la kodi kubwa inayofika %20, kwa kila bet inatoshinda, pia kampuni kama 1xbet haina njia rahisi za kufanya malipo. Huku kampuni nyingine zikiwa na mifumo migumu katika utumiaji wake au kuwa kuwa na matatizo ya Mara kwa Mara hasa kwa njia ya mtandao.
Pamoja na hayo njia hizi zitaisaidia kampuni yako kufanya vizuri upande wa mtandao
1. Anzisha affiliate program
2. Weka ods za kuvutia
3. Weka bonus za kuvutia Wateja
4. Fanya mtandao wako uwe rahisi kutumia
5. Ajiri wafanyakazi wabunifu

6. Lipa kwa wakati
7. Boresha mtandao wako kila Mara ili uonekane mpya na bora


8. Weka michezo mingi ikibidi hata ya ligi ya nyumbani.

By  masshele
Digital  market expert
info.masshele@gmail.com