Kujisajili na M-pesa MasterCard

Jinsi ya kujisajili M-pesa master card

Bofya menu ya m-pesa * 150* 00# OK

Kisha bofya namba 4> Lipa kwa m-pesa

Kisha bofya namba 6 > M-pesa MasterCard

Itakuleta kwenye menu ya Card
1. Tengeneza card
2.
3. Weka pesa kwenye card

4.Salio la card
5. Card yangu
6. Msaada

Bofya 1. Kama unataka kutengeneza card , ukishabofya itakuletea taarifa za card yako ikiwa ni pamoja na card number mf. 534555577888, CVV  008(hizi ni namba maalumu na huwa zipo tatu), tarehe ya kuisha matumizi kwa kadi yako mfano 2020/07/31
na katika kufanya miamala utaingiza hizo taarifa kwa utaratibu huo.

Hatua ya mwisho

Weka pesa m-pesa kisha rudi katika menu upya kisha chagua namba 3> weka pesa kwenye card. Ukishaweka unaweza kuitumia card yako
>kupokea fedha
>kulipia huduma mitandaoni
>kununua bidhaa mtandaoni
> na nyinginezo kumbuka kutumia kadi yako katika tovuti zenye usalama.

Post a Comment

0 Comments