"" NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA MTANDAONI KUTOKA PARMATCH

NAFASI ZA KAZI YA UWAKALA MTANDAONI KUTOKA PARMATCHMaelezo.
Parmatch ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubahatisha iliyosajiliwa na board ya michezo nasibu Tanzania . kampuni hiyo inatafuta mawakala kwaajili ya kusajili Wateja wapya mtandaoni na nje ya mtandao.

Sifa za mwombaji.
-awe angalau amehitimu kidato cha Nne  na kuendele na anayejua kusoma na kuandika.
-Awe mchapakazi
-Awe na umri zaidi ya miaka 18

-Awe anauelewa kuhusu mtandao ya kijamii/ Facebook, WhatsApp, Instagram

*MAJUKUMU
kutafuta Wateja na kuwasajili.

Mafunzo yatatolewa, pamoja na usaidizi
*MALIPO
Malipo yatafanyika Mara mbili kwa mwezi kwa njia ya COMMISION/mrabaha kuanzia 25%+


Maelezo mengine soma hapa


CLICK >>HERE<<TO APPLY

Kumbuka kujaza form hiyo kwa kuingiza taarifa hizi, namba yako, jina la kwanza, la pili, barua pepe kisha dhibitisha na kuwasilisha.

Tahadhari usitoe Malipo kwa mtu yeyote kila mtu ana nafasi Sawa, jaza na kuwasilisha form Mara moja tuu, na ikiwa ombi lako litakubaliwa tutawasiliana nawe ndani ya saa 48.

Mawasiliano
0677489288
0800787878
0766605392


Post a Comment

0 Comments