INAELEZWA kuwa Yanga imeingia kwenye anga za kuiwinda saini ya  Rossein Tuisila Kisinda.

 Winga huyo mwenye umri wa miaka 20 anakipiga ndani ya Klabu ya AS Vita inayoshiriki Ligi Kuu ya DR Congo akiwa na uwezo wa kufunga pia.


Watani zao wa jadi Simba waliingia kwenye anga za kuiwinda saini ya nyota huyo mipango yao iligonga mwamba.