SIMBA, YANGA ZINAVYOWEZA KUKUINGIZIA FAIDA KUBWA KESHO

 Kesho  Mei 8 utapigwa mtanange mkubwa unaogusa  hisia za mashabiki wengi ndani na nje yatanzania. Kwa mtu mmoja mmoja unaweza kutumia kuingiza chochote katika mfuko wako, wafanyabiashara, pia hii ni fursa kwenu.

WADAU WAKUBETI HII NI FURSA YENU KUPIGA PESA NA PMBET

Kama kawaida ya Pmbet mchezo huu wamesha utupia huku ukiwa na od nene namachaguo kibao. 

-Katia matokeo yakawaida ya mchezo ods nikama ifuatavyo SIMBA (1.80)  DRAW (3.15)  YANGA (4.50)

- Katika machaguo mawili ods nikama ifuatavyo, 1X (1.14)  12 (1.28)  X2 (1.87 )  1x= Simba kushinda au kusare, 12= yanga au simba yeyote ashinde upewe mpunga, x2 , mchezo utoke sare au yanga ashinde.

- Timu zote kufunga goli , ndio (2.07) sio (1.56)

- Yanga kufunga goli , ndio (1.58) hapana (2.04)

Machaguo mengine unaweza kuona kwa kubofya Hapa

UTABIRI WA MCHEZO.

Kivyovyote vile Yanga wataingia uwanjani kwa tahadhari kubwa kuliko simba. Hivyo yanga watamakinikia eneo la ulinzi zaidi, hivyo nafasi ya yanga kupata goli katika dakika 45 za kwanza nindogo na mchezo utamalizika kwa yanga kufunga chini ya magoli mawili mpaka 0. 

Dau lako uweke wapi?   Makali ya safu ya ushambulizi ya simba nani asiyeijua? Wataingia kushambulia muda wote mpaka watakapokuwa mbele ndipo watapunguza kasi yamchezo kwaajili ya mashindano yanayokuja, hivyo kama watafunga 1-0 kipindi chakwanza Yanga huenda wakapata nafasi yakurejesha bao namchezo kuisha 1-1, na pili kama simba watamaliza kipindi chakwanza bila kupata goli mchezo huenda ukamalizika kwa 0-0

Pamoja nakuwa mchezo unatarajiwa kuwa mgumu  Simba ananafasi kubwa yakuibuka na ushindi

Utabiri wetu Simba kushinda au kutoa sare. 1x

USHINDI ULIVYO NDANI YA PMBET KAMA UTABETI KIWANGO CHA LAKI 1.

SIMBA KUSHINDA =164,0000

     X.       MCHEZO KUISHA SARE= 272,000

      2.      YANGA KUSHINDA = 376,000

1X =111200

12= 122400

X2=168000

BOFYA HAPA KUWEKA DAU LAKO SASA.  1   1.80   X  3.15    2   4.45


Post a Comment

0 Comments