MBINU MPYA ZA KUBETI

Katika makala hii tutajadili mbinu mpya za kuweka mkeka wako nakushinda. Pamoja nakuwa na watu wengi sana wanovutiwa na michezo yua kubeti kwa sasa  lakini niwachache sana wanaoshinda beti zao huku wengi wakiambulia patupu. Ili uweze kushinda mkeka wako yapo mambo kadhaa unayopaswa kuzinganitia yatakayo kuweka zaidi na ushindi

Table of contents

1.      1. Chagua kampuni nzuri ya kubeti yernye option nyingi

2.     2.  Chagua timu chache

3.     3  Uibetie ushabiki

4.       4.Usivutiwe wala kuogopeshwa na ukubwa wa ods

5.     5.  Tafuta takwimu za timu hizo mtrandaoni

 

 

1.       Chagua kampuni nzuri za kubeti zenye options  nyingi

Unapochagua kampuni yakubeti yenye machaguo mengi unakuwa katika ugha mpana wa kuangalia nichaguo lipi rahisi na lenye uwezekano zaidi wa kushinda.  Uanaweza kuchagua idadi ya kona, faulu, substitutions, redcards na machaguo mengine mengi ndani ya mcghezo mmoja. Hivyo kukuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda kuliko katika kampuni zile zenye machaguo machache .

1.1    BAADHI YA MAKAMPUNI YENYE OPTIONS NYINGI ZA KUBETI NI HAYA

1.1.1          PMBET TANZANIA kujiunga bofya >>>HAPA>>

1.1.2          22BET TANZANIA kujiunga bofya >>HAPA

 

 

2.       Chagua timu chache

Nivyema kuwa na idadi ndogo ya timu katika mkeka wako. Hii itakuweka katika nafasi nzuri zaidi ya kushinda kuliko  vile ungeweka idadi kubwa  ya timu katika mkeka wako. Unajua ni kwanini katika jackports nyingi kuna timu nyingi? Nikwasababu uwezekano wa kushinda katika timu nyingi ni mdogo sana. Unaweza kubeti katika timu moja mpaka tatu kwa usalama zaidi wa mkeka wako.

 

3.0 usibetie ushabiki

Ukitaka kushinda beti kirahisi usilete mahaba baina yako na timu husika bali angalia uzito wa mchezo na mwenendo mzima wa timu hiyo katika kipindi husika

4.0  Usivutiwe walakuogopeshwa na ukubwa wa ods

Kuna watu wanaobeti kwa kudhani ods za 1. Ni uhakiak kushinda huku wakiogoapa sana ods kubwa hasa zile zinazoanzia 3  na kujikuta wakipoteza kila mara. Narudia tena zingatia takwimu na uwezo wa timu kwa wakati husika.

5.0 Nivema kutafuta takwimu zilizopita za mchezo husika mtandaoni ili kujua ni timu gani bora zaidi kwa wakati huo, na ni options ipi rahisi ya kubeti katika mchezo huo kulinganana matokeo kadhaa yaliyopita baina ya timu hizo kasha kuzipa kipaumbele zaidi katika mkeka wako.