SLOTI ZA MTANDAONI NA SLOTI MASHINE ZA MTAANI



Katiak makala hii tutazungumzia kuhusu hizi aina mbili za michezo ya sloti zinazozidi kupata umaarufu katika michezo ya bahati nasibu nchini.

Kihistoria kwa mara ya kwanza sloti ilibuniwa na kutengenezwa na Charles August Fly mapema mwaka 1891. Tangu kubuniwa kwake imekuwa ikijizolea umaarufu karibu katika kila nchi duniani vilevile kupitia katika mabadiliko na maendeleo kadhaa hadi kufikia kuwepo kwa sloti za mtandaoni.

BAADHI YA MAKAMPUNI YENYE MICHEZO YA SLOTI NI 

1. PMBET TZ kujiunga bofya >>HAPA>>

2. MERIDIANI BET  kujiunga bofya >>HAPA>>

TOFAUTI ILIYOPO KATIKA HIZI AINA MBILI ZA SLOTI (SLOTI ZA KIJADI NA SLOTI ZA MTANDAONI)

Mara nyingi mteja anapojisajili katika sloti za mtandaoni hupewa bonsai ya kujisajili, lakini katika slot za mtaani hakuna ofa hiyo.

Sloti za mtaani unaweza kucheza bila kuwa na kifaa cha internet  lakini sloti za mtandaoni ni mpaka uwe na kifaa cha internet

Sloti za mtandaoni unaweza kucheza ukiuwa mahali popote tofauti na machine za sloti za mtaani ambapo mpaka uwe katika eneo husika.

Kiwango chakuweka  pesa/ deposits,  sloti za matandaoni unaweza kucheza kwa kiwango kidogo cha pesa kuanzia  Tsh 1 lakini katika sloti za mtaani  kiwango huanzia TSH 200

Hitimishio sasa unaweza kuamua kucheza sloti za mtandaoni au sloti za kawaida za mtaani. Kumbuka kucheza kistaarabu wakati ukislotika.

Post a Comment

Previous Post Next Post