Tanzania ni miongoni mwa masoko ya michezo ya bahati nasibu yenye ushindani zaidi katika ukanda huu wa afrika mashariki, kukiwa na takribani kampuni za michezo hiyo zaidi ya 22. Hata hivyo baadhi ya kampuni zilijaribu kuingia katika soko hili lenye ushindani nakuamua kujitoa. Hata hivyo hakuna kampuni iliyotaja sababu za kufunga huduma zake bali zilipotea ghafla mtandaoni. Hata hivyo sababu zinazoweza kusababisha kusarenda kwa kampuni hizo kunaweza kuwa ni, sheria ziliwabana, udogo wa mitaji, na kushindwa ushindani. Kampuni zilizofung huduma zake mpaka sasa ni,
1.WAKABET, iliyoanza kutoa huduma mwaka 2017 na kupotea mwanzoni mwa 2019
2. M-cheza , ilipotea ghafla mtandaoni lakini ingali ikitoa huduma katika nchi yakenya
3. Betx, ni miongo mwa kampuni zilizoanza kufanya vizuri lakini ghafla haikupatikana tena katika tovuti yao ya betx.co.tz lakini kuna tetesi kuwa inajipanga na kurudi na tovuti mpya kwani kurasa zake za kijamii zingali hai
KAMPUNI ZINAZOONESHA USHINDANI WA HALI YA JUU KATIKA SOKO LA KUBETI TANZANIA
WINPRINCESS kujiunga bofya >HAPA>
MERIDIANBET kujiunga bofya >HAPA>
PREMIERBET kujiunga bofya >HAPA>
PARMATCH kujiunga bofya >HAPA>