Pmbet apkPMBET TANZANIA, Hii ni kampuni inayojihusisha na michezo ya kubeti Tanzania, ndani ya pmbet unaweza kubashiri au kubeti michezo mbalimbali, pia unaweza kucheza michezo kamavile Keno, wolf, namba za bahati miongoni mwa michezo mingine. Parmatch Tanzania, kama ilivyo kwa pmbet Tanzania vilevile parmatch in kampuni inayohusika na kubeti michezo mbalimbali.

Katika makala hiii tutafananisha na kutofautisha  kampuni hizi mbili maarufu za kubeti Tanzania.

                   1. PMBET   kujiunga na pmbet bofya <<HAPA>>

                     2. PARMATCH  kujiunga na Parmatch bofya <<<HAPA>>


       MAUDHUI

   1.Kufanana nakwa pmbet na parmatch Tannzania

2.  Kutofautiana kwa parmatch Tanzania na Pmbet Tanzania

3. Kujisajili na pmbet

4. Kujisajili na parmatch

5. Namba za huduma kwa wateja pmbet  na parmatch Tanzania.KUFANAN NA K KWA PMBET NA PARMATCH TANZANIA.

-Zote ni maarufu, kampuni hizi zote zina watumiaji wengi, pia hubhudumaia wateja wake kwa ufanisi mkubwa ukilinganisha na kampuni nyingine za kubeti mtandaoni. 

-Zote unaweza kubeti na kucheza kasino.  Pmbet na parmatch  hujumuisha michezo ya kasino mtandaoni, ambapo wachezaji wake wanaweza kucheza na kuingiza mkwanja kupitia kasino ya parmatch na kasino ya Pmbet.

-Zote hutoa bonasi ya kubeti mtandaoni. Kwa wateja wa pmbet hutuzwa bonasi pale wanapoweka salio/ kudepositi kiasi cha fedha kwenye account zao.

         KUTOFAUTIANA KWA PMBET PPLICATION NA PARMATCH APPLICATION

Vilevile parmatch hutofutiana na pmbet kwenye baadhi ya vipengele kama ifuatavyo.

i.KIWANGO CHA BONASI. Parmatch hutoa bonasi kubwa zaidi kuliko Pmbet

ii.Mteja wa pmbet huweza kubet hata kwenye maduka ya pmbet lakini parmatch ni mtandaoni pekee.

iii. Jackpot , unaweza kubeti jackpot ukiwa na pmbet lakini ndani ya parmatch hakuna jackpot

iv   Pmbet nikongwe zaidi ukilinganisha na parmatch 

KUJISAJILI PMBET TANZANIA

Ili uweze kujisajili pmbet Tanzania unatakiwa kubofya >>HAPA>> nakujaza taarifa zako kamili. Baada ya kufungua aacount juu pande wakulia utaona sehemu pameandikwa deposit ili uweze kuweka pesa kwenye account yako ya pmbet na uanze kufurahia michezo.


KUJISAJILI  NA PARMATCH APK

Ili uweze kujisajili na parmatch Tanzania unapswa kubofya >>HAPA>> nakujaza taarifa zako. Weka salio kwenye account yako utapokea bonasi ya hadi milioni 1, yani asilimia mia ya kiasi utakachoweka kwa mara ya kwanza kama umeweka 20000 utapokea 40000  bonasiMawasiliano ya pmbet unaweza kuwasiliana na pmbet kwa kuchart live kwenye mtandao wao. Vilevile unaweza kuwasilian na  parmatch apk kwa kuchart live kwenye mtandao wao.