WAZIRI wa Fedha na Mipango Dk Mwigulu Nchemba amependekeza Bungeni kupunguza kiwango cha kodi ya zawadi kwa mshindi (Incoming Tax on Winning) kutoka asilimia 15 hadi 10 kwenye michezo ya kubahatisha ya ubashiri wa michezo (Sports Betting) ili kuongeza mapato ya serikali.

-SOMA PIA >>ORODHA YA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

“Uchambuzi umebainisha kwamba endapo serikali itapunguza kiwango cha kodi hadi asilimia 10, mapato ya serikali yatoongezeka kutoka Sh bilioni 4 hadi Sh bilioni 5.2 kutokana na kiwango cha watu wengi zaidi kushiriki katika michezo hiyo,” amesema Waziri Nchemba.

 

Soma pia >>Hizi hapa app 10 za kubeti mtandaoni