Kubeti na kushinda
Jinsi ya kubeti na kushinda kila siku
JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU

Kubeti na kushinda kila siku nindoto ya kila mchezaji wa michezo ya kubashiri lakini ukweli nikuwa huwezi Kushinda kila siku Ila unaweza Kushinda Mara nyingi nakupata faida

Contents

1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU 

2.1 ODS ZENYE NAFASI KUBWA YA KUSHINDA


1.1 JINSI YA KUBETI NA KUSHINDA KILA SIKU

ili uweze kubeti na kushinda mkeka wako nilazima uzingatie yafuatayo


1.1.0  Usibeti kiushabiki

Hakikisha hubeti mchezo kwakuwa tu wewe ni shabiki wa timu hiyo na kuipa ushindi kwakuwa unaipenda timu hiyo. Kufanya hivyo kutakufanya upoteze Mara nyingi


1.1.1 WEKA TIMU CHACHE DAU KUBWA

Hii ndio mbinu ya ushindi kwenye mkeka, kumbuka kadiri unavyoweka timu nyingi kwenye mkeka unakuwa kwenye nafasi kubwa ya kupoteza beti yako. Nimuhimu kuchagua ods chache za uhakika na kubeti dau kubwa kuliko kuweka ods nyingi na  na dau dogo kutegemea Kushinda fedha nyingi kwenye mkeka. Kufanya hivyo kutakufanya uwe unapoteza mkeka wako Mara kwa mara.

1.1.2 Chunguza mwenendo wa timu nivyema kuchunguza mwenendo wa timu katika mechi za karibuni matokeo yalikuwaje? Je zinapokutana timu hizo matokeo yanakuwaje? He kikosi chatimu hiyo kwa siku husika kipoje? Uwiano wa magoli ya kufungunga na kufungwa?


1.1.3 Tuliza akili pale unapopoteza. Acha kuchanganyikiwa na kutaka kurudisha kiasi ulichopoteza katika mkeka uliotangulia kufanya hivyo kutakufanya upoteze sana.


1.1.4 Angalia utabiri katika tovuti za kubashiri matokeo mtandaoni. Japo sio za kuaminika Sana lakini zinaweza kukupa mwanga na wewe mwenyewe kufanya maamuzi mkeka wako uweje. 1.1.5 Beti kwenye tovuti rahisi Kushinda na zenye bonasi. Ninaposema tovuti rahisi Kushinda ni zile app za kubati ambazo huwa na options nyingi au machaguo mengi ambayo ni rahisi kutokea katika mchezo  kwamfano machaguo ya idadi ya Kona, Mpira kushikwa na golikipa, kadi nyekundu, n.k 

Kampuni hizo ni pamoja na

1.1.4.1,888 bet bonasi apk Jiunge >>HAPA>>


1.1.4. 2, Pmbet app Jiunge >>HAPA>>


1.1.4.3 , 10bet tanzania Jiunge >>Hapa>>


 1.1.4.4, Premierbet apk jinsi ya kujiunga Bofya >>HAPA>>


1.5 BETI KISATAARABU 


kubeti kistaarabu ni kuacha kubeti hovyo, beti kwa mpangilio na ikiwa unautambua mchezo husika Usibeti kwa mhemko.2.0 Ods zenye nafasi kubwa ya Kushinda. 


Zipo ods ambazo huweza Kushinda Mara kwa Mara jaribu kuangalia katika kampuni ambayo unabeti 

Mwisho.

Soma pia: KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA