Mbet handcup
Jinsi ya kubeti Handcup
Contents
1. Maana ya Handcup
2. Jinsi ya kubeti Handcup
3. Kampuni za kubet handcup

1. Maana ya Handcup

Handcup ni option ya kubeti ambayo ipo katika kampuni mbalimbali za kubeti. Handcup maana yake timu Fulani kupewa magoli au goli kabla ya mchezo kuanza Kisha ubashiri matokeo yatakuwaje baada ya mchezo kuanza. Sio timu dhaifu pekee huweza kupewa goli katika option ya Handcup Bali hata timu yenye mwenendo mzuri huweza kupewa goli kabla ya mchezo kuanza.

2. Jinsi ya kubet handcup

Mfano 

Machester city Vs Arsenal 


1. Handcup 1.5

X

2

Je mancity tayari anagoli moja kabla ya mchezo kuanza je mchezo ukichezwa ukiisha matokeo ya jumla pamoja na goli moja na nusu alilopewa atashinda?

Mchezo ukitoka sare yeyote Mancity atakuwa ameshinda kwa kuwa ana akiba ya goli 1.5


Vilevile Mancity akifungwa 1 kwa 0 au 2kwa moja anakuwa ameshinda kwa tofauti ya 0.5 


Handcup huweza kupewa zaidi ya goli moja mfano

+2, +3 +3.5

Yani timu tayari inapewa akiba ya magoli 3 afu wewe ubeti mchezo utaishaje 


3. Kampuni unzoweza kubet Handcup ni hizi

1. Gals sport Jiunge kwa kugusa >HAPA>

2. 888 bet Tanzania Jiunge >>HAPA>>

3. Premierbet tz apk Jiunge >>HAPA>>

4. Meridian bet Tz Jiunge >>HAPA>> bonus promo code 1109

5. Betway Africa join >>HERE>

6. Helabet Bonasi 300,000 Jiunge kwa kugusa >HAPA> promo code ya bonus ingiza MASS


Furahia Handcup  katika kampuni za kubeti. Mara nyingi Handcup ambazo timu dhaifu hupewa magoli ya kuongoza huwa na odds kubwa sana