Jinsi ya Kuweka Pesa betway Tanzania

 


Betway Ni kampuni ya kubeti mtandaoni inayojumuisha michezo ya kasino pamoja na kubashiri michezo mbalimbali iliyodajiliwa Tanzania na bodi ya michezo ya bahati nasibu. Katika makala haya tutaeleza Hatua za kuweka pesa Betway tanzania

Table of contents

 1. Kuweka pesa Betway kwa Tigo pesa
 2. Kuweka pesa Betway kwa M-PESA
 3. Kuweka pesa Betway kwa Airtel money 
 4. Kuweka pesa Betway kwa halopesa
 5. Kuweka pesa Betway kwa selcom
Kwanza hakikika una account ya betway tanzania ikiwa hauna Bofya >Hapa> 

 • Kuweka pesa Betway kwa Tigo pesa
Ili uweze kuweka pesa Betway kwa Tigo pesa hakikisha umejisajili Betway kwa namba ya Tigo Kisha tembelea tovuti a au APK ya betway Tanzania. Kisha Bofya Weka pesa Betway
Zipo njia mbili za kuweka pesa Betway 
- kuweka pesa Betway kwa njia ya USSD
- Kuweka pesa Betway kwa njia ya moja kwa moja.
a) kuweka pesa kwa njia ya moja kwamoja hakikisha una salio kwenye account yako ya Tigo. Pesa Kisha chagua kiasi unachotaka kuweka kuanzia tsh 1000 Kisha fuata Hatua hizi

 1. Hakikisha  namba yako ya simu
 2. Weka kiasi unachotaka na bofya Weka Pesa
Ujumbe wa kuidhinisha utatumwa kwenye simu yako. Weka namba ya siri kukamilisha muamala wako.

 • Kuweka pesa papo hapo Betway  na USSD  kwa Tigo pesa
 1. Piga *150*01#
 2. Chagua namba 4 "Lipa Bili"
 3. Chagua namba 3 " Weka Namba ya Kampuni"
 4. Weka namba ya Biashara: 971772
 5. Weka namba yako ya Akaunti ya Betway mfano 255684861947kama kumbukumbu namba
 6. Weka kiasi unachotaka kuweka
Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo

Kuweka Pesa Betway kwa M-PESA (Vodacom Tanzania)

Unaweza kuweka pesa Betway kwa njia ya M-PESA ya moja kwa moja au Ussd

Kuweka pesa Betway kwa Mpesa kwa njia ya moja kwa moja 


 • KuWeka pesa Betway  papo hapo na USSD Mpesa

 1. Piga *150*00#
 2. Chagua namba 5 "Lipa kwa M-pesa"
 3. Chagua namba 4 " Weka Namba ya Kampuni"
 4. Weka namba ya Biashara: 971772
 5. Weka namba yako ya Akaunti ya Betway  kwa mfano 255684861947 kama kumbukumbu namba
 6. Weka kiasi unachotaka kuweka
 7. Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo
 8. Chagua 1 kuthibitisha

Kuweka Pesa Betway kwa njia Ya Airtel money 

 • Weka pesa papo hapo  kwa Airtel Money na USSD

 1. Piga *150*60#
 2. Chagua namba 5 "Lipa Bili"
 3. Chagua namba 4 "Weka Namba ya Kampuni"
 4. Weka namba ya Biashara: 971772
 5. Weka kiasi unachotaka kuweka
 6. Weka namba yako ya Akaunti ya Betway kama kumbukumbu namba
 7. Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo

Kuweka pesa Betway tanzania kwa njia ya Halopesa 

 • Weka pesa papo hapo kwa Halopesa na USSD

 1. Piga *150*88#
 2. Chagua namba 4 "Lipa Bili"
 3. Chagua namba 3 " Weka Namba ya Kampuni"
 4. Weka namba ya Biashara: 971772
 5. Weka namba yako ya Akaunti ya Betway  kwa mfano 255684861947 kama kumbukumbu namba
 6. Weka kiasi unachotaka kuweka
 7. Weka namba ya SIRI kuidhinisha malipo
 8. Chagua 1 kuthibitisha
Kuweka Pesa Betway tanzania kwa njia ya selcom Tanzania

 1. Tembelea Wakala wa Selcom Huduma aliyekaribu nawe
 2. Mpatie wakala akaunti namba yako ya Betway na kiasi unachotaka kuweka
 3. Wakala atathibitisha taarifa za malipo
 4. Wakala atakamilisha malipo na utapokea ujumbe kuthibitisha muamala wako

Mawasiliano ya betway 
Support@betway.co.tz

Post a Comment

0 Comments