Kujisajili Sportbet Tanzania na jinsi ya kuweka pesa

 

Kujisajili Sportbet Tanzania na jinsi ya kuweka pesa

Sportybet ni kampuni ya michezo ya kubeti Tanzania inayoendesha shughuli zake za kutoa huduma za kubashiri matokeo ya michezo ya mpira wa miguu na michezo mingine mtandaoni, kupitia tovuti ya Sportbet na katika app ya Sportybet Tanzania.

Vilevile Sportybet inafanya kazi zake katika nchi mbalimbali za afrika ikiwemo Sportbet Nigeria, Sportybet kenya, Sportybet Ghana na Sportybet Uganda.

Jinsi ya kujisajili Sportybet Tanzania

Kujisajili Sportybet Tanzania ni Jambo rahisi, hakikisha una namba ya simu kwaajili ya kujisajili.tembelea tovuti ya Sportbet au Application ya Sportybet Tanzania fungua na ujisajili. Kumbuka kuhifadhi password yako ambayo utaitumia kuingia kila Mara utakapotaka kufanya hivyo.

Kampuni za kubeti tanzania

Jinsi ya kuweka pesa sportybet

Unaweza kuweka pesa kwenye account yako ya sporty bet kwakutumia Mpesa, Airtel money, halopesa au selcom. Kuweka pesa kwenye account yako ya sporty bet Ingia kwenye app ya Sportybet Tanzania au tovuti ya sporty bet fungua palipoandikwa deposit au Weka pesa Kisha ufuate maelekezo. 

Mawasiliano ya Sportybet Tanzania

Unaweza kuwasiliana na Sportybet Tanzania kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii Kama vile WhatsApp, Facebook, au mtandao wa X vilevile unaweza kuwasiliana na Sportybet Tanzania kupitia live chat inayopetikana katika tovuti ya Sportybet Tanzania angalia zaidi hapa www.sportybet.com/tz/m/me/support

SOMA PIA KAMPUNI BORA ZA KUBETI TANZANIA

2 Comments

Previous Post Next Post