Mkekabet

Kampuni ya michezo ya kubeti tanzania. Iliyopotea hewani kwa wiki kadhaa sasa inatarajia kurudi hewani siku chaze zijazo.

Aidha katika taarifa waliyoitumwa kwa mwandishi wa mtandao huu masshele.com, mkeka bet wapo katika matengenezo hivyo kulazimika kusitisha huduma zake kwaajili ya Jambo Hilo.Waahidi wateja wa mkeka bet kuwa fedha zao zipo salama

Kwa wateja waliokuwa na fedha  katika account ya mkekabet , watakaporudi hewani mteja ataweza kuingia katika account take ya mkeka beti na atakuta kiasi alichokiacha 


SOMA PIA>>kampuni bora zaidi yakubeti